Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

Masogange achukua uraia wa Afrika Kusini, Sasa kuitwa Thando

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Hakika hii ni habari mbaya kwa nchi yetu maana yule celebrity class A ambaye ni role model wa watoto wa kike hapa Bongo ameamua kuchukua uraia wa south africa
Ama kwa hakika this is very sad, imagine mdada aliyetuletea sifa kwa kusafirisha panadol za 6 billion shillings kwenye bag to south africa, masikini wabongo wakamshambulia eti ni madawa ya kulevya lakini Mungu mkubwa, mahakama tukufu chini ya majaji wasomi wakamuona hana hatia



Kama mnavyojua kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..Dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini Afrika Kusini..Ambako kimsingi alipata bwana wa kuishinaye huko kama domozege ilivyolipoti mwezi uliopita.

Sasa leo hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM masogange ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini...na ku-caption alama ya kupiga makofi....hii nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa nchi mbili kwa hiyo kama ni kweli basi Masogange sio mtanzania mwenzetu tena...Baadhi ya watu waliocomment kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi...


Dah haya mama maisha popote!!!
 
Role model and celebrity A class, pia ni msanii, sijui ni msanii wa nini? ninavyojua mimi huyo ni mfanya biashara maarufu.
 
Aende salama na ameona huku ameishakosa soko ndo maana kajikimbiza mwenyewe
 
Hem tuekeeni kapicha tumjue na sisi huyo celebrity clas....
 
Hili lileta mada vipiiiii...Eti ni habari mbaya kwa nchi yetu!!! ama kweli wewe ni maatope...Na afie hukohuko Pathetic!!!!!!!™™£™™
 
Last edited by a moderator:
Mungu siyo athuman...majitu ya hovyohovyo yanazidi kupungua nchini...Lile lililokamatwa China nalo likinyongwa ewaaaaaaa...Ngoja nijipongeze na castle lite au kinana ya baridiiii hivina Wema, Kajala na wangese wengine watakufa liniiiiiii!!!!! yanakawia sana yanamaliza vijana tuuuuu kwa sembe!!!!
 
kumbe ukionyesha picha ya cover ya pasport ya nchi fulani automaticaly unahesabiwa kuwa umechukua uraia wa hiyo nchi?
basi na mimi nimechukua uraia wa USA.
dscn9890.jpg
 
Tumepoteza mjasirimali mkubwa, ni nani kati yenu alishawahi kusafirisha vidonge vya almost 4 million usd to SA? acheni kuwa keyboard warriors na kubwabwaja hapa, she deserved presidential award kwa kuonyesha njia kwa vijana wengine ya kuwa milioneazzz
 
Bongo bana muuza nanilihii na yeye amekua maarufu?
 
Sasa badala ya kukaa kimya, mtaongea weee mpaka mtamfanya aghairi, baadae tusikie amerudi tena bongo.
 
Tumepoteza mjasirimali mkubwa, ni nani kati yenu alishawahi kusafirisha vidonge vya almost 4 million usd to SA? acheni kuwa keyboard warriors na kubwabwaja hapa, she deserved presidential award kwa kuonyesha njia kwa vijana wengine ya kuwa milioneazzz

Maatope leo hapa umepatia kweli kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom