Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Alikuwa kwenye maandalizi ya sikukuu ya Uhuru akiwa kikundi Cha landing Kutoka kwenye helicopter unfortunately alilipukiwa na bomu
FB_IMG_1513497515040.jpg
 
JWTZ ni watumishi wa kuheshimiwa sana maana wanakesha kulinda mipaka yetu sisi tunalala majumbani kwetu. Wanafanya kazi ya kizalendo kabisa kwa ajili ya ustawi wa nchi yetu.
Hakuna anayefanya kwa ajili ya uzalendo, kilamtu anafanya kazi kwa ajili ya tumbo, kwani Police wanaotulinda kilasiku dhidi ya wahalifu hawapaswi kuheshimiwa? Au wewe ni mwanajeshi unataka tukuone wa maana sana kuliko binadam wengine? Nonsense!!!
 
Back
Top Bottom