Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

Hakuna anayefanya kwa ajili ya uzalendo, kilamtu anafanya kazi kwa ajili ya tumbo, kwani Police wanaotulinda kilasiku dhidi ya wahalifu hawapaswi kuheshimiwa? Au wewe ni mwanajeshi unataka tukuone wa maana sana kuliko binadam wengine? Nonsense!!!

Mimi sio mwanajeshi, lakini ukweli upo mkuu. Pia punguza jazba zako hakuna unayemlisha hapa.
 
Wanacholipwa JWTZ hakiitwi mshahara ila ni posho. Hivi wakitaka walipwe mshahara unadhani kwa akili yako mbovu hivi mtaweza kweli.
Acha UFA. La ndugu kwani mshahara wa laki moja na posho ya laki 2, ipi kubwa?
Acha u.se. nge mwengine kwani kuna mtu anashikiwa bunduki kuwa mwanajeshi......... Eti wangekuwa wanalipwa mshahara tusingeweza.............. Hizo ni kauli za jeshini za kutiana moyo tu?.......... Hakuna chochote wanajeshi ni wafanyakazi kama taaluma zingine tu, ndio mana mwanajeshi aliye na elimu ndefu analipwa vizuri kuliko mwenye elimu ndogo............ Kama unaona jeshi ni kazi ya kujitolea basi hio posho unayopata usichukue na kama unaona hio posho ni ndogo kazi ni kibao mtaani chagua unayoitaka fanya.......... KWANZA ASILIMIA KUBWA YA WANAOENDA HUKO NI WALIOFELI(ASILIMIA KUBWA SIO WOTE)

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Na wewe acha UFA.La na u.se.nge
 
  • Thanks
Reactions: amu

Hasira za kuachwa kwenye usahili maliza na mkeo ,hauwezi kufahamu kinachoendelea chumbani kama haulali chumba hcho shubamiti kibwengo wew
 
Acha UFA. La ndugu kwani mshahara wa laki moja na posho ya laki 2, ipi kubwa?
Acha u.se. nge mwengine kwani kuna mtu anashikiwa bunduki kuwa mwanajeshi......... Eti wangekuwa wanalipwa mshahara tusingeweza.............. Hizo ni kauli za jeshini za kutiana moyo tu?.......... Hakuna chochote wanajeshi ni wafanyakazi kama taaluma zingine tu, ndio mana mwanajeshi aliye na elimu ndefu analipwa vizuri kuliko mwenye elimu ndogo............ Kama unaona jeshi ni kazi ya kujitolea basi hio posho unayopata usichukue na kama unaona hio posho ni ndogo kazi ni kibao mtaani chagua unayoitaka fanya.......... KWANZA ASILIMIA KUBWA YA WANAOENDA HUKO NI WALIOFELI(ASILIMIA KUBWA SIO WOTE)

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Wajeda kwa mini msimtafute huyu mka deal nae
 
  • Thanks
Reactions: amu

Attachments

Back
Top Bottom