WAKISHAMSWEKA NDANI, MAISHA YAKO YATABORESHEKA, VITU VITAPUNGUA BEI. HONGERA SANAHuyu alizoea sana na katuni zake za matusi wamsweke ndani tu mmae
Post zako zinaonyesha wewe ni mlumumba kwahiyo sikulaumu jitahidi unaweza pata hata uDC.tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Kuna uzi ulianzishwa humu wa picha ya JULI BRISKMAN,mwanamke aliyeuoneshea kidole cha kati msafara wa rais trumpMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
wawaulize Nape na Makamba nae maji ya shingoHAYA YOTE TULISHAELEZWA NA LEMA NA LISSU, WAKIMALIZA WANASIASA....., LAKINI WENGINE TUMEBAKIA KUSHANGILIA LINAPOMFIKA AMBAYE YUKO TOFAUTI NA SISI KIITIKADI. TUNASAHAU HUU NI MDUARA, IKO SIKU LITAKUFIKA. TUPAZENI SAUTI ZETU WOTE KUWA "TUBU"
Na huyu naye mlumumba pureAfungwe kabisa tumechoka na Wachochezi
Nchi inaendeshwa kishamba sana !Mahakamani wakiuluzwa ni wapi ameitaja serikali ya Tanzania watajibu nini maana serikali ziko nyingi katika hii dunia na zote zinatoza kodi.
Hamna kesi hapo bali lengo ni kumtisha tu.
tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Hawa watu sijui walipandikizwa akili za aina gani! Maana hata hao punda wako na uafadhaliWewe huna tofauti ya kiakili na pimbi mwenzio cocochanel!
Polisi ni kama chombo tu ambacho kinaongozwa na binadamu kwa hiyo huwezi kulaum polisiPumbavu polisi viazi kabisa