Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Polisi wanatekeleza wanachoambiwa na kiongozi wao theb wanakuwa hawana attention tena kinachoendelea baada ya kukamata.
Hata kama wakamkamata mtu halafu hapohapo kiongozi wao anabadilisha mawazo na kusema mtuhumiwa aachiwe hata hawahoji kuwa kwann walitumia nguvu kubwa kukamata halafu mtu kaachiwa palepale.
 
this is to much sasa
kwaani hawaoni aibu na hawajui kuwa wanajiharibia mnooo
kweli zito alikuwa sahihi aliposema tumeikabidhi nchi kwa viongozi washamba
 
kp.png
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587

chanzo: Chadema in Blood
Kuna uzi ulianzishwa humu wa picha ya JULI BRISKMAN,mwanamke aliyeuoneshea kidole cha kati msafara wa rais trump

Ikatumika hyo picha kusifia kuwa U.S.A kuna uhuru "wa raia kutoa maon" na kwamba huyo mama angefanya hivyo tanzania angekamatwa

Lakin MWENYEZ MUNGU SI ATHUMAN
yule mama akafukuzwa kazi na kukamatwa kwa kudhihak na kutusi

Ule uzi ulipotea humu,
Sasa tatizo la kudhan kuwa serikal n dampo la kutupia kila upuuz linatucost upinzan Tanzania
Uhuru una mipaka na mipaka yake n pale ambapo haki na utu wa mwingine unaanzia
 
HAYA YOTE TULISHAELEZWA NA LEMA NA LISSU, WAKIMALIZA WANASIASA....., LAKINI WENGINE TUMEBAKIA KUSHANGILIA LINAPOMFIKA AMBAYE YUKO TOFAUTI NA SISI KIITIKADI. TUNASAHAU HUU NI MDUARA, IKO SIKU LITAKUFIKA. TUPAZENI SAUTI ZETU WOTE KUWA "TUBU"
wawaulize Nape na Makamba nae maji ya shingo
 
Kweli mkuu wa kaya ni muoga. Hadi katuni zinamuogopesha. Kaazi kweli kweli
 
Yaani hii nchi kuna wakati inaudhiii, na kuna wakati inachekesha.
 
Mahakamani wakiuluzwa ni wapi ameitaja serikali ya Tanzania watajibu nini maana serikali ziko nyingi katika hii dunia na zote zinatoza kodi.

Hamna kesi hapo bali lengo ni kumtisha tu.
Nchi inaendeshwa kishamba sana !
 
tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi

Hiyo namba umeweka kwenye ki signature line haitakusaidia muulize Jerry Muro wamekula tu pesa zake TBC alishinda kuhonga ili apate talktime mwesho Father wenu amuteue wapi....akajichokea tu ....waki Msando wamenunuliwa tu juzi wamepata shavu ndiyo maana wanatoka mishipa kumtetea godfather wawo.....wewe unatembenza bakuli ya kinamba tu eti upigiwe umeteuliwa.....utasubili sanaa kama wapinzani kushika dola Tz!!
 
Back
Top Bottom