Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Safi sana ifike mahali tutofaitishe yupi simba yupi mbwa
 
aisee hii kali sasa naona mwaka unaanza vizuri kabisa
 
Kipanya kukamatwa kwa kuchora katuni ni habari kubwa, Lakini, kwa nini asikamatwe mhariri aliyechapisha habari hiyo?
 
Police hawana kazi ya kufanya uzalendo wateendelea kuuskia kwenye vyombo habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…