Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Hii nchi ya mamaako?Then leave it
Jitahidi kazi uliyotumwa 2017 ongeza bidii 2018 utafikiriwa post zako za nyuma zinajieleza vizuri.tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Afungwe kabisa tumechoka na WachocheziMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Mnawaonea Bure ebu waulizeni kama wanazo hela.......Wambieni polisi waache upumbavu na ujinga
Bora na wewe umesemaKama ni kweli, uchochezi hapo ni yeye kukamatwa na si vinginevyo!
Jambaz akiua polisi dhihaka kwa jeshi la polisiMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Mmae ndipo ulipotoka ccm inapendwa na wajinga wenye elimu ndogo kama nyie.Tafiti ya TwawezaHuyu alizoea sana na katuni zake za matusi wamsweke ndani tu mmae
nitajie matusi ndani ya katuni hiiHuyu alizoea sana na katuni zake za matusi wamsweke ndani tu mmae
Weka
Weka number ya sim kabisa kama wanafiki wenzio ili mpigiwe
Ifikie mahali tusiwalaumu polisi kwa kile wanachokifanya, hakuna polisi anayeamka tu na kwenda kukamata mtu lazima kuwe na ordre.Police hawana kazi ya kufanya uzalendo wateendelea kuuskia kwenye vyombo habari
Tangu lini polisi wetu wakawa na ueledi?!tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi