Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Police wa Tanzania acheni upumbavu kwani Kipanya kaongea uongo,in kweli serikali kwa sasa inategemea kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara ili iweze kujiendesha sasa uchochezi huko wapi hapo wakati ni kweli tupu,police mjue mnakula,mnakunya,mnavaa hayo makaki yenu na kubeba hizo smg kwa sababu ya kodi zetu wananchi so acheni kupelekwa pelekwa na wanasiasa uchwara