Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Police wa Tanzania acheni upumbavu kwani Kipanya kaongea uongo,in kweli serikali kwa sasa inategemea kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara ili iweze kujiendesha sasa uchochezi huko wapi hapo wakati ni kweli tupu,police mjue mnakula,mnakunya,mnavaa hayo makaki yenu na kubeba hizo smg kwa sababu ya kodi zetu wananchi so acheni kupelekwa pelekwa na wanasiasa uchwara
 
Aisee
Inaonesha alishapigwa bit ila hakufatilia
Japo hajamchora jamaa
 
HAYA YOTE TULISHAELEZWA NA LEMA NA LISSU, WAKIMALIZA WANASIASA....., LAKINI WENGINE TUMEBAKIA KUSHANGILIA LINAPOMFIKA AMBAYE YUKO TOFAUTI NA SISI KIITIKADI. TUNASAHAU HUU NI MDUARA, IKO SIKU LITAKUFIKA. TUPAZENI SAUTI ZETU WOTE KUWA "TUBU"
 
Nilikuwa siamini kama wehu unaambukiza,hi nchi tulikuwa tuna viongozi wenye akili timamu lakini inaelekea karibuni tuta tafuta chanjo wa uwenda wazimu naona inaambukiza.
 
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587

chanzo: Chadema in Blood
Jambaz akiua polisi dhihaka kwa jeshi la polisi
Polisi akiua jambaz "kwann wamemuua kwa tuhuma tu kwan polisi n mahakama"
Polisi akikamata mhalif ambaye n mwanasiasa "untouchable ones" basi jeshi la polisi linatumika kisiasa
And so and so and so
Sasa najiuliza hawa polisi tunawalipa mishahara ili wafanye kazi gan??

Je n kwel upinzan ukishika dola ndo tutakuwa na nchi ambayo ina uhuru usiojali hako za wengine????
N kwel kuwa upinzan wakipewa nchi wataacha nchi kuwa ya kambare kila mtu ana sharubu ???
 
Hawataki kuambiwa ukweli.
Wasije wakaanza kuuliza kodi ya lile Hummer la Kipanya
 
Police hawana kazi ya kufanya uzalendo wateendelea kuuskia kwenye vyombo habari
Ifikie mahali tusiwalaumu polisi kwa kile wanachokifanya, hakuna polisi anayeamka tu na kwenda kukamata mtu lazima kuwe na ordre.
Kwa mfumo wa jeshi lolote duniani askari ni mtu wa kutekeleza order inayotolewa na kiongozi wake, hata kama ungekuwa wewe kwa sababu kinyume na hapo unganisha dot.......
 
Back
Top Bottom