Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

Tunawalipa mishahara kwa kulinda watu na Mali zao.

Kuua sio kazi yao. Ndio maana wanapitia mafunzo maalumu ya kukabiliana na waharifu.
Sasa kwann tunawanunulia bunduki na bastola zenye risasi za moto???

Nna mashaka na uelewa wetu juu ya majukumu ya jeshi la polisi
Au kama tuna uelewa wa kutosha basi huenda tunajitoa Akili likija suala la kumgusa mtu ambaye sisi wapinzan n rafik yetu kwa muda husika
 
Kuna mambo ya kipuuzi sana yanaendelea. Lengo lao sio kumfunga kwa kuwa hawana grounds za kufanya hivyo ila tu ni kumtesa kidogo (lock-up at least 3 days) na kumtisha asizoee kuwachora wao na mibichwa yao
 
Katuni za Masoud siku hz ni uchochez mtupuu,yaan zigo limekua langu mwananch kwa kutozwa kodi km mhamiaji.
 
Ni katuni ipi hasa iliyomkamatisha
27d55634d45c470f79b1aa5b01ba40c3.jpg
 
Kama ni kweli, uchochezi hapo ni yeye kukamatwa na si vinginevyo!
Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.
Na kama ni kweli basi kuna haja bwana mkubwa kuangalia utendaji kazi wa baddhi ya wasaidizi wake maana izi kamata kamata sasa mpaka mchora Katuni?
 
Kazi anayoweza dikteta! Tumuombee aendelee kuchapa kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom