Cathy Diwani
Senior Member
- Feb 13, 2016
- 120
- 185
Subiri na wewe uje upimwe kojoHuu ni usenge sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri na wewe uje upimwe kojoHuu ni usenge sasa
Kauli ya lisu yatimiaHatimayee
Tunamuunga mkono,hizo ni hisia zake.MTU anao Uhuru wa kutoa hisia Zake vile anajisikia.Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
UCCM utaliangamiza taifa... hivi kasema serikali gani?tuache jeshi la polisi wafanye kazi yao kwani kama wamemkamata wameona anameona kuwa anakesi ya kujibu kwa kuzingatia uweledi
Sasa kwann tunawanunulia bunduki na bastola zenye risasi za moto???Tunawalipa mishahara kwa kulinda watu na Mali zao.
Kuua sio kazi yao. Ndio maana wanapitia mafunzo maalumu ya kukabiliana na waharifu.
Polisi washavurugwa wengine wanajinyonga wenyewe.Police hawana kazi ya kufanya uzalendo wateendelea kuuskia kwenye vyombo habari
Hamna kazi,upuuzi tu.HAPA KAZI TU.
Yap hizi habari ni za kweli kabisa naona sasa tumefikia pabaya sanaMchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood
Halafu unaweza kukuta ni kapuku balaa !Na huyu naye mlumumba pure
Uhuru wa kuongea au kutukana,kubeza au kuchochea?Kuna haja wazee mwaka 2020 sio mbali hatuwez kuongozwa na mtu anayetutia umasikini na tukakosa hadi uhuru wa kuongea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi "UCHOCHEZI" ni sawa na "AWARENESS CREATION", kwa kiingereza? Anayejua anisaidie.
Ni katuni ipi hasa iliyomkamatisha
Mwenye Enzi Mungu ndiye ajuaeKama hii habari ni kweli.
Basi tunapoelekea...........
Watampa promo ya maana sana kama watamkamata.Kama ni kweli, uchochezi hapo ni yeye kukamatwa na si vinginevyo!
Kazi ipiHAPA KAZI TU.
Wasubiri Iran ya afrika imekaribia.Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi
View attachment 665587
chanzo: Chadema in Blood