DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 921
- 1,720
Mkuu hapa umemaliza, hii kesi itaisha kwa kuombewa msamaha na mamlaka kuu..B5 haipo hapo!Mwanasheria wa Masoud kipanya naona anaropoka sana hajui namna ya kukaa na neno .lipi aliseme lipi asiseme kwenye media kwa haraka haraka ili suala kama halitaaingiliwa na wakubwa kutoka Juu zaidi mwijaku atakomolewa. Au ataamua kujitetea kwa kuleta ushahidi hapa ndipo mambo yatakuwa makubwa zaidi kama kesi ya Mbowe
Kazi.Kusaga na ni mwenye clouds.
Tabia mbovu sana kuwadhalilisha na kujifanya wanaomba radhi. Damage inakuwa imeishafanyika.Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku
Hayo yamebainishawa na Wakili wa Mtangazaji Masoud Kipanya, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki Kwanza Advocates ambapo amedai mmteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa mpaka kuna baadhi ya makampuni zimesitisha mikataba ya kufanya naye kazi.
Wakili huyo amemtaka Mwijaku kutoa ushahidi wa tuhuma hizo au alipe Tsh 5 Bilioni.
View attachment 3018050
View attachment 3018110
View attachment 3018111
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba
Mchora katuni maarufu, Ally Masoud Nyomwa “Masoud Kipanya”, anakusudia kumshtaki Mahakamani na kumdai fidia ya Tsh. Bilioni 5, Burton Mwemba Mwijaku kwa madai kumkashifu na kuandika maudhui ya uongo dhidi yake katika ukurasa wake wa Mtandaoni wa Facebook ambayo pia yanadaiwa kusambaa kwenye kurasa nyingine.
Ikielezwa kuwa hali hiyo imesababisha kumshushia heshima na kupelekea baadhi ya taasisi kusita kufanya naye kazi mbalimbali.
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba ambaye ni Wakili wa Kipanya ameyasema hayo Juni 14, 2024, Jijini Dar es Salaam.
Wakili huyo akizungumzia suala hilo mbele ya Vyombo vya Habari anasema Mwijaku alitoa maneno ya uongo bila ushahidi, kwamba Kipanya anabiashara haramu na ambayo imechangia kuharibu vijana wengi.
Madai mengine ambayo Wakili anadai yalitolewa na Mwijaku ni kwamba Kipanya amezoea kuwazodoa viongozi wa Nchi na marais kwa kuwadhalilisha pamoja na madai Kipanya amekuwa akihongwa kuichafua Serikali na viongozi wake.
Wakili huyo amesema Kipanya kabla ya kuja mbele ya Vyombo vya Habari na Umma alimpa siku tatu Mwijaku kuomba radhi kwa uzito uleule aliotumia kumchafua sambamba lakini siku tatu zilipita bila kufanya alivyoelekezwa.
Anasema barua hiyo iliyoandikwa Juni 7, 2024 na kupokelewa siku tatu tokea siku hiyo, ilimwelekeza Mwijaku kujitafakari na kuomba radhi kwa maandishi kupitia mitandao yote aliyotumia.
Aidha, amedai licha ya uwepo wa taarifa inayodaiwa kuwa ni 'Press Release' iliyotolewa na Mwijaku amesema Mteja wao msimamo wake kwa sasa ni kwamba anaona kwamba njia pekee ya kutumika kumrejeshea heshima yake ni Mahakama.
Wakili huyo amesema madai ambayo yametolewa na Mwijaku dhidi ya Kipanya hayana ukweli wowote na kuwa yameendelea kumuathiri mteja wao ambaye amekuwa akifanya majukumu yake yanayogusa jamii kwa uchanya.
Amesema kwa kuwa madai hayo yanagusa mamlaka nyingine, ameeleza matarajio yao kwa Vyombo vya dola na taasisi nyingine zitakuwa zinachukua hatua, lakini amedai kwa upande wao pia wapo tayari kutoa ushirikiano kulingana na taratibu.
Amesisitiza Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 ambayo imefanyiwa marekebisho mara kadhaa, inatoa uhuru wa kujieleza lakini pia uhuru huo una wajibu.
Pia Soma:
- Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu
- Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais
Mkuu,vipi kama mdaiwa akifariki kabla ya kumaliza kulipa hiyo faini?Na kuilipa huwa si lazima ndani ya muda mfupi, atajipiga piga weee mpaka uzeeni akamilishe.
Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku
Hayo yamebainishawa na Wakili wa Mtangazaji Masoud Kipanya, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki Kwanza Advocates ambapo amedai mmteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa mpaka kuna baadhi ya makampuni zimesitisha mikataba ya kufanya naye kazi.
Wakili huyo amemtaka Mwijaku kutoa ushahidi wa tuhuma hizo au alipe Tsh 5 Bilioni.
View attachment 3018050
View attachment 3018110
View attachment 3018111
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba
Mchora katuni maarufu, Ally Masoud Nyomwa “Masoud Kipanya”, anakusudia kumshtaki Mahakamani na kumdai fidia ya Tsh. Bilioni 5, Burton Mwemba Mwijaku kwa madai kumkashifu na kuandika maudhui ya uongo dhidi yake katika ukurasa wake wa Mtandaoni wa Facebook ambayo pia yanadaiwa kusambaa kwenye kurasa nyingine.
Ikielezwa kuwa hali hiyo imesababisha kumshushia heshima na kupelekea baadhi ya taasisi kusita kufanya naye kazi mbalimbali.
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba ambaye ni Wakili wa Kipanya ameyasema hayo Juni 14, 2024, Jijini Dar es Salaam.
Wakili huyo akizungumzia suala hilo mbele ya Vyombo vya Habari anasema Mwijaku alitoa maneno ya uongo bila ushahidi, kwamba Kipanya anabiashara haramu na ambayo imechangia kuharibu vijana wengi.
Madai mengine ambayo Wakili anadai yalitolewa na Mwijaku ni kwamba Kipanya amezoea kuwazodoa viongozi wa Nchi na marais kwa kuwadhalilisha pamoja na madai Kipanya amekuwa akihongwa kuichafua Serikali na viongozi wake.
Wakili huyo amesema Kipanya kabla ya kuja mbele ya Vyombo vya Habari na Umma alimpa siku tatu Mwijaku kuomba radhi kwa uzito uleule aliotumia kumchafua sambamba lakini siku tatu zilipita bila kufanya alivyoelekezwa.
Anasema barua hiyo iliyoandikwa Juni 7, 2024 na kupokelewa siku tatu tokea siku hiyo, ilimwelekeza Mwijaku kujitafakari na kuomba radhi kwa maandishi kupitia mitandao yote aliyotumia.
Aidha, amedai licha ya uwepo wa taarifa inayodaiwa kuwa ni 'Press Release' iliyotolewa na Mwijaku amesema Mteja wao msimamo wake kwa sasa ni kwamba anaona kwamba njia pekee ya kutumika kumrejeshea heshima yake ni Mahakama.
Wakili huyo amesema madai ambayo yametolewa na Mwijaku dhidi ya Kipanya hayana ukweli wowote na kuwa yameendelea kumuathiri mteja wao ambaye amekuwa akifanya majukumu yake yanayogusa jamii kwa uchanya.
Amesema kwa kuwa madai hayo yanagusa mamlaka nyingine, ameeleza matarajio yao kwa Vyombo vya dola na taasisi nyingine zitakuwa zinachukua hatua, lakini amedai kwa upande wao pia wapo tayari kutoa ushirikiano kulingana na taratibu.
Amesisitiza Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 ambayo imefanyiwa marekebisho mara kadhaa, inatoa uhuru wa kujieleza lakini pia uhuru huo una wajibu.
Pia Soma:
- Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu
- Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais
Vizuri kabisaa..Wakili huyo amemtaka Mwijaku kutoa ushahidi wa tuhuma hizo au alipe Tsh 5 Bilioni.
B 5 sio B 500B500 unaifahamu lakini? Hapo kwenye B500 ndo inapokosa userious.
Binafsi nilishangaa sana!Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku
Hayo yamebainishawa na Wakili wa Mtangazaji Masoud Kipanya, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki Kwanza Advocates ambapo amedai mmteja wake ameathirika kwa kiasi kikubwa mpaka kuna baadhi ya makampuni zimesitisha mikataba ya kufanya naye kazi.
Wakili huyo amemtaka Mwijaku kutoa ushahidi wa tuhuma hizo au alipe Tsh 5 Bilioni.
View attachment 3018050
View attachment 3018110
View attachment 3018111
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba
Mchora katuni maarufu, Ally Masoud Nyomwa “Masoud Kipanya”, anakusudia kumshtaki Mahakamani na kumdai fidia ya Tsh. Bilioni 5, Burton Mwemba Mwijaku kwa madai kumkashifu na kuandika maudhui ya uongo dhidi yake katika ukurasa wake wa Mtandaoni wa Facebook ambayo pia yanadaiwa kusambaa kwenye kurasa nyingine.
Ikielezwa kuwa hali hiyo imesababisha kumshushia heshima na kupelekea baadhi ya taasisi kusita kufanya naye kazi mbalimbali.
Wakili Msomi Mwandamizi wa Kampuni ya Haki Kwanza Advocates, Alloyce Komba ambaye ni Wakili wa Kipanya ameyasema hayo Juni 14, 2024, Jijini Dar es Salaam.
Wakili huyo akizungumzia suala hilo mbele ya Vyombo vya Habari anasema Mwijaku alitoa maneno ya uongo bila ushahidi, kwamba Kipanya anabiashara haramu na ambayo imechangia kuharibu vijana wengi.
Madai mengine ambayo Wakili anadai yalitolewa na Mwijaku ni kwamba Kipanya amezoea kuwazodoa viongozi wa Nchi na marais kwa kuwadhalilisha pamoja na madai Kipanya amekuwa akihongwa kuichafua Serikali na viongozi wake.
Wakili huyo amesema Kipanya kabla ya kuja mbele ya Vyombo vya Habari na Umma alimpa siku tatu Mwijaku kuomba radhi kwa uzito uleule aliotumia kumchafua sambamba lakini siku tatu zilipita bila kufanya alivyoelekezwa.
Anasema barua hiyo iliyoandikwa Juni 7, 2024 na kupokelewa siku tatu tokea siku hiyo, ilimwelekeza Mwijaku kujitafakari na kuomba radhi kwa maandishi kupitia mitandao yote aliyotumia.
Aidha, amedai licha ya uwepo wa taarifa inayodaiwa kuwa ni 'Press Release' iliyotolewa na Mwijaku amesema Mteja wao msimamo wake kwa sasa ni kwamba anaona kwamba njia pekee ya kutumika kumrejeshea heshima yake ni Mahakama.
Wakili huyo amesema madai ambayo yametolewa na Mwijaku dhidi ya Kipanya hayana ukweli wowote na kuwa yameendelea kumuathiri mteja wao ambaye amekuwa akifanya majukumu yake yanayogusa jamii kwa uchanya.
Amesema kwa kuwa madai hayo yanagusa mamlaka nyingine, ameeleza matarajio yao kwa Vyombo vya dola na taasisi nyingine zitakuwa zinachukua hatua, lakini amedai kwa upande wao pia wapo tayari kutoa ushirikiano kulingana na taratibu.
Amesisitiza Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 ambayo imefanyiwa marekebisho mara kadhaa, inatoa uhuru wa kujieleza lakini pia uhuru huo una wajibu.
Pia Soma:
- Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu
- Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais
Wanauza nyumbaAta 1% ya iyo hela Mwijaku hana.
Wanauza nyumba yake hakuna namnaSijui kwanini nimemuonea huruma Mwijaku..!😣
Billion 5 auze Nyumba ileSijui kwanini nimemuonea huruma Mwijaku..!😣
Uchawa nao ni Career?Yule chizi fresh, awe na uhakika ana ushahidi kweli na kama hana basi nae career yake imeharibika
Ndio maana marehemu Mengi aliwahi kutaka fudia ya shilingi moja mdaiwa wake, nadhani alikua manji.Kwa jinsi sheria zilivyo Ghorofa haliwezi kuuzwa na mahakama sababu. Ni matrimonial property. Mwijaku sio lake peke yake. Na Mke wa mwijaku hausiki kwenye hiyo kesi ya madai.
Mahakama itakwama kukamata ghorofa.
Kesi za madai ni ngumu sana kwenye kukamata mali za wanandoa. Kesi za madai ni nyepesi sana kama unaidai kampuni. Maana kampuni haiingiliwi na watu. Hivyo mali za kampuni unazikamata tu na kuziuza.
Pia kesi za madai zina ujinga wa kulipa kidogo kidogo. Hata elfu 10 kwa mwezi ruksa