Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Akili za kimaskini hizi so Masoud akinunua hammer na wewe unanunua hammer
Hujaelewa lengo la hilo swali....
Ebu nenda karudie kusoma post kwa sauti, itakusaidia kuelewa haraka.
 
Hata hivo huyu jamaa kwenye katuni zake ni bingwa wa kuichafua serikali kwahiyo haikosi analipwa ila alipwe asilipwe hakika be dhambi kubwa kurumia neema mungu aliyokupa bure kuwaudhi watu kwakutumia rasilimali ya umri ambao huna uhakika wa kuishi hata dakika moja mbele utajiri wako wadunia waharamu wakuwachafua watu nibure kwamungu sijui utakuwa Na mema kiasi kutosha kuwalipa watu uliowatesa kwa kuwachora vibaya ndo nyinyi mtajikuta ulifanya mema mengi ila ukajisahau kwa kufanya mabaya mengi uliyotegemea pengine ni utani au mungu hakuoni ila kumbuka hakuna ulichopewa ambacho hakina hesabu hatua zako kwa hesabu pumzi zako kwa hesabu maongezi yako kila kitu kwa hesabu nasasa ili usijikute umenyanganywa vyote Na akina magufuli siku ya kiama anza kujirekebisha sasa ndugu yangu.
 
Maisha ni Malengo,,chukulia jamaa ameanza kuweka akiba ya 150000 kwa mwezi Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa atakuwa na shs ngapi?? Piga hesabu.
 


Huku sasa ndio 'kubwabwaja na kuropoka'!

*Umeandika nini?
 
Huyo Mambosasa unataka aje kufanya nini watu wengine wachochezi bwana? Hivi kati ya Diamond, Milard Ayoo na Kipanya nani Tajiri na nani ni kijana.Ila najua wewe utakuwa unafikiri ni labda kabla kabiashara ka unga wa kukoboa.Na kwa taarifa yako hata katika hako kabiashara nako huwa kuna madaraja kuna MA-LORDS, DEALERS,DISTRIBUTORS,PUNDA na wasambazaji wadogo au wachuuzi w mitaani na wa mwisho ni watumiaji wenzangu.
 
Acha ndg yangu huo ni Mtandao hatari sana!!! Unaona wanavyoshambulia hoja, timu ngad
 
Hii nimeipenda....hasa kwenye hitimisho
 
....Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi. Kama Masoud kwako ni Mtoto Mdogo, Mkuu utakuwa Mtu mzima sana!
Le Mutuz???
 
"Simple mind discuss people, moderate mind discuss events, big mind discuss ideas"
 
Hivi millioni 40 inaweza kununua hiyo gari eeh!?
Maisha ni Malengo,,chukulia jamaa ameanza kuweka akiba ya 150000 kwa mwezi Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa atakuwa na shs ngapi?? Piga hesabu.
 
Kuwa mchawi sio lazima upae na ungo, hata huu ni uchawi tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…