youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Wewe unazo?Masoud kipanya ni wa siku nyingi. Nimefanya kazi nae BTL 1994 so kama amefanya kazi miaka yote hiyo kwanini asiwe na pesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unazo?Masoud kipanya ni wa siku nyingi. Nimefanya kazi nae BTL 1994 so kama amefanya kazi miaka yote hiyo kwanini asiwe na pesa?
Hujaelewa lengo la hilo swali....Akili za kimaskini hizi so Masoud akinunua hammer na wewe unanunua hammer
Hata hivo huyu jamaa kwenye katuni zake ni bingwa wa kuichafua serikali kwahiyo haikosi analipwa ila alipwe asilipwe hakika be dhambi kubwa kurumia neema mungu aliyokupa bure kuwaudhi watu kwakutumia rasilimali ya umri ambao huna uhakika wa kuishi hata dakika moja mbele utajiri wako wadunia waharamu wakuwachafua watu nibure kwamungu sijui utakuwa Na mema kiasi kutosha kuwalipa watu uliowatesa kwa kuwachora vibaya ndo nyinyi mtajikuta ulifanya mema mengi ila ukajisahau kwa kufanya mabaya mengi uliyotegemea pengine ni utani au mungu hakuoni ila kumbuka hakuna ulichopewa ambacho hakina hesabu hatua zako kwa hesabu pumzi zako kwa hesabu maongezi yako kila kitu kwa hesabu nasasa ili usijikute umenyanganywa vyote Na akina magufuli siku ya kiama anza kujirekebisha sasa ndugu yangu.
Hii nimeipenda....hasa kwenye hitimishoAna mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizia hela kibao
3, Ni moja ya watangazaji ghali tz
4, Amewekeza kwenye kilimo pia
5, Ana yard ya magar nk.
Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D ufikirie kudrive Hummer?
Le Mutuz???....Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi. Kama Masoud kwako ni Mtoto Mdogo, Mkuu utakuwa Mtu mzima sana!
"Simple mind discuss people, moderate mind discuss events, big mind discuss ideas"Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Maisha ni Malengo,,chukulia jamaa ameanza kuweka akiba ya 150000 kwa mwezi Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa atakuwa na shs ngapi?? Piga hesabu.
Kuwa mchawi sio lazima upae na ungo, hata huu ni uchawi tosha.Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Jamaa tuka kipindi kile kwenye tangazo la serengeti mpaka leo duh lazima awe na pesaYaan ww ndo unaoana masudi kapata mafanikio haraka au hujui huju jamaaa yuko hot kitambo