gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Duh eti masoud kipanya ni mtoto mdogo..hela ndio zinafanya anaonekana mdogo..yule anaweza akawa anakaribia 45 kama sikosei..ambao kwa mtanzania wa kawaida kwa maisha ambayo hayana shule na ulihustle tangu enzi izo unatakiwa uwe na nyumba atleast tano na umeyapanga maBMW garage kwenye nyumba yako..Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Achana na masoud kipanya..yule mtu ni ana akili ujapata kuona..alaf kaanza zamani sana at 90's anasikika kwenye media zaidi ya ruge..