Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Duh eti masoud kipanya ni mtoto mdogo..hela ndio zinafanya anaonekana mdogo..yule anaweza akawa anakaribia 45 kama sikosei..ambao kwa mtanzania wa kawaida kwa maisha ambayo hayana shule na ulihustle tangu enzi izo unatakiwa uwe na nyumba atleast tano na umeyapanga maBMW garage kwenye nyumba yako..

Achana na masoud kipanya..yule mtu ni ana akili ujapata kuona..alaf kaanza zamani sana at 90's anasikika kwenye media zaidi ya ruge..
 
Hata hivo huyu jamaa kwenye katuni zake ni bingwa wa kuichafua serikali kwahiyo haikosi analipwa ila alipwe asilipwe hakika be dhambi kubwa kurumia neema mungu aliyokupa bure kuwaudhi watu kwakutumia rasilimali ya umri ambao huna uhakika wa kuishi hata dakika moja mbele utajiri wako wadunia waharamu wakuwachafua watu nibure kwamungu sijui utakuwa Na mema kiasi kutosha kuwalipa watu uliowatesa kwa kuwachora vibaya ndo nyinyi mtajikuta ulifanya mema mengi ila ukajisahau kwa kufanya mabaya mengi uliyotegemea pengine ni utani au mungu hakuoni ila kumbuka hakuna ulichopewa ambacho hakina hesabu hatua zako kwa hesabu pumzi zako kwa hesabu maongezi yako kila kitu kwa hesabu nasasa ili usijikute umenyanganywa vyote Na akina magufuli siku ya kiama anza kujirekebisha sasa ndugu yangu.
Mkuu unawaibisha Wale wakata suruali wenzio.
Hivi mna nni nyie. .??
mnahisi mungu wa peke enu sio
 
Duh eti masoud kipanya ni mtoto mdogo..hela ndio zinafanya anaonekana mdogo..yule anaweza akawa anakaribia 45 kama sikosei..ambao kwa mtanzania wa kawaida kwa maisha ambayo hayana shule na ulihustle tangu enzi izo unatakiwa uwe na nyumba atleast tano na umeyapanga maBMW garage kwenye nyumba yako..

Achana na masoud kipanya..yule mtu ni ana akili ujapata kuona..alaf kaanza zamani sana at 90's anasikika kwenye media zaidi ya ruge..
Hata kama 46 bado mdogo kwangu. Ila kwako mkubwa.
 
Hata kama 46 bado mdogo kwangu. Ila kwako mkubwa.
Ndo ujishangae kwann hauna mambo makubwa kama yake.tena kama ungekua mkubwa kuliko yeye imekuaje humjui alipoanzia.maana unatakiwa uwe na zaidi ya vyake..maana me naamini kwa umri wake wa hustling ni sawa tu kuwa na vitu kama vile..tena me naona bado ni kawaida sana maana hummer hazina hata bei..

kwa jinsi alivyo na huslting anastahili zaidi..
Maana kipindi nyie mnakula bata wenzenu walikua wanafanya investment na kujinyima..
 
Huyu @figanigga kipindi cha jk inaonekana alikuwa anakula bata tu akasahau kufanya investment,
nakumbuka huyu alikuwa akituletea sana breaking news za state house,
saa hii deal limebuma,kageuka kuwa mzee wa busara,majungu kibao nini na nini.....

Lakini alikuaga member mstaarabu sana,
stress za kukosa hela bana...
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Anza na Bashite
 
Ukiona mtu anamind magufuri jua alikuwa mpiga dili.......huyu nae anamind sana magufuri
 
Kuendesha tu magari ya kifahari mimi sina shaka kama angekuwa mlimiki labda ndio ningepata maswali ,
 
Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?

Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Ni dalili ufukara tu na umbea. Badala ya kujituma unaanza kufuatilia watu.
 
Hiyo gari (Hammer) alinunua kipindi ana project ya maisha plus...

Ile project ilimuingizia pesa nyingi sana...

Ila siku hizi hayupo vizuri kiuchumi hiyo gari nadhani amempa ndugu yake, inapaki sana maneno ya victoria ikishinda inatengenezwa...

Cc: mahondaw
 
Ana mambo na miradi mingi sana town;
1, Program ya maisha plus ilimpa hela nyingi
2, Katuni zake zinamuingizia hela kibao

Sasa mwenzangu na mm utegemee kamshahara ka scale E au D ufikirie kudrive Hummer?
Na madaraja yenyewe yamekwama!
 
Labda kashinda dabali tatu mzuka na biko ya Mheshimiwa Kajala
 
Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?

Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
We mwenyewe umefuatilia huu uzi wa watu.
 
We mwenyewe umefuatilia huu uzi wa watu.

Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu.

We mwenyewe umefuatilia huu uzi wa watu.

hakuna uhusiano kabisa kwenye hizo sentensi mbili labda ulzimishie ili uridhishe unachotaka.
 
Ukisikia umbea, unafiki, unafaru ndio huo kweli wewe unaacha kupambana na maisha yako unaanza kudiscuss watu duh kweli wewe snitch hufai hata kupelekwa nyumbani Kwa mtu. Unapenda kilasiku kumuona mtu anatembea kiatu kimelika upande mmoja?? Wewe hutakuja endelea utabaki kuuliza watu wanafanya nini kila siku jitume na huwezi kutajirika kwa kijiajira chako cha 1.5M gross salaries. Pambana na haliyako yakipanya mwachie mwenye fight na wewe uendeshe Magari ya kifahari sio kumuanzishia mwenzio majungu mtandaoni. Kama anafigisu vipo vyombo vya kiuchunguzi wanalipwa Kwa kazi hiyo
 
Habari yanu wakuu,
View attachment 686139
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.

Juzi kati alinipita na gari la kifahari la aina yake, nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom akaingia kati nikamfotoa kwa mbali.

Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?

Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.

Juzi kati alitekwa. Hajasema kwanini alitekwa, hajasema walikuwa wanamdai nini wala hajasema amewapa nini wakamuachia.
Kwa akili zako za majungu na chuki wee utakuwa zao la wale wanaomnadi mtulia achaguliwe kuwa mmbunge
 
Hivi kweli unakaa unaanza kuwaza huyu jamaa kwanini anaendesha magari mazuri badala ya kufikiria unatokaje hapo ulipo. Tena mtu mwenyewe mwenye mawazo haya una afya nzuri tu. SMH
 
Aliekwambia Masoud kipanya ni kijana mdogo nani...
 
Back
Top Bottom