Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Mzee wa ubuyu povu limemtoka
 
 
Masoud is around 44 inakuwaje unamwita mtoto mdogo? Kwani Hummer H2 bei gani hadi uone ni ajabu?
 
Humvee?Ni gari aina gani hii mkuu.

Nahisi itakua hybrid version ya zile gari zetu za Nyumbu
Humvee ni USA military vehicles ndio chanzo cha Hummer kutengenezwa kwa ajili ya raia.
 
Tunaweza kumuona mleta mada kama mmbea ila huenda kuna mtu anawindwa hapa na kupitia huu Uzi taarifa zake zote zikawa disclosed.
 
Ana project nyingi Sana , hujui project ile iliyokuwa inaoneshwa na vituo vya tv jina nimeisahau
 
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Kwa kauli hii inaonesha ni namna gani watanzania wengi wana kaliba ya ulimbukeni; Ajionyeshe ili iweje? kwani kuna ulazima mtu ajionyeshe? Kama una hela always money talk, huna haja ya kuongea kama unayo...

Vijana mnapotea sana siku izi, nasikitika kauli kama hizi zinatolewa na kijana.
 
Una hilo tu au masoud najua ana yard ya magari jangwani toto kanko kitu kama hichi lbda ww umekuja mjini juzi kutoka kolomije ndio.mnaofnya kumbi za stareh kutufungia saa 6
Halafu jamaa inaonekana hamjui vizuri Masoud Kipanya. Huyo jamaa sio kijana mdogo kama mwonekano wake ulivyo huyo jamaa ni mhenga ila ana umri mkubwa tu na kama ni mfanyakazi wa serikalini basi abnawaza kustaafu. Masoud ni mpiganaji wa miaka mingi sana na alikuwa na ma-coaster yanaitwa Tonto Kanko miaka ya nyuma sana Enzi hizo kina Prof J bado wako sekondari. Pia amewahi kuwa na duka kubwa sana la nguo pale Millenium Tower lilikuwa linaitwa KP Wear na amefanya miradi mingi sana kama kulima, ufugaji nyuki na program kama Maisha Plus nk. Kwa ufupi jamaa ni mpiganaji hicho kigari ulichokipiga picha wala sio kielelezo cha utajiri wake. Ni kama kumpiga picha mbuzi mmoja kwa mfuga ng'ombe 100
 
Hehhehhhhhh. .......wa Tz bwana kwa wivu hatujambo. ....mtoa mada unadhihirisha ulivyo na wivu mbaya kama ulikua unataka kujua ungeuliza ki ustaarabu ungejibiwa sio kumuita mwenzio kijana mdogo et ana gari la kifisadi wakati humjui ni kutaka kumchafua mtanzania mwenzio heshimu hustle zake......najua umelewa umaskini kwahiyo kila kitu unahis hakiwezekani pole sana aiseee
 
Hivi hujui kama michoro inalipa sana huko majuu?
Masudi anashiriki kwenye maonesho yote makubwa ya michoro duniani,fanyeni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…