Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..



NI HAKI YAKE KABISA! WIVU UTAWAUWA WABONGO
 
Huo muda na raslimali ulizitumia kwa kumuwinda mpaka ukafanikisha kupata hiyo picha, umeingiza shs ngapi labda?
 
MIXOLOGIST,
Wivu kivipi?
Tujue biashara yake, mbona yeye huuliza yasiyomuhusu.
Watu tunajua vizuri, sana huyu jamaa.
Tangu alipokuwa anakaa komakoma.
 
Kabla ya kupata jibu, ni kujiuliza magari anayomilki ni ya kiasi gani alafu amekuwa kwenye game hili la kusaka hela tangu lini...pamoja na kwamba umesema ni mdogo ila kumbuka jamaa yupo kwenye game la kutafuta hela kama miaka 20 hivi hivyo kama alikuwa anaweka milioni kwa mwaka anakuwa ana 20milion (kwa vijana wengi gari kama hili la kifahari kwa kiasi flani)

Nimetoa mfano simple tu ila huyo kumbuka anatangaza, anachora katuni na sometime anakuwa Mc wa event mbalimbali pia maisha plus achilia mbali ile program ya kukusanya vijana kule Bunda kwa ajili ya kilimo kumbuka pia huyo ni public figure ana washabiki wake hivyo akifika sehemu wakati mwingine anajikuta analipiwa bill bila kuomba (yote hii anafanya saving)

Katuni peke yake hata kama wamlalie wamlipe 30,000 kila siku kwa mwezi ni 900,000 japokuwa katuni watakuwa wanamlipa zaidi ya laki kwa siku hapo achilia hizo kazi zingine ..na sidhani kwa umaarufu wake atashindwa kutumia fursa kufungua biashara yoyote (aliwahi kuwa na duka la nguo pia hilo ghorofa refu hapo K-nyama (nimesahau jina kitambo nipo huku Ubenazomozi)
 
Mhhhhhhhhhh
 
Magari ya kuazima hayo Mkuu... Masoud ana Rav 4 Kili time....

Hawa wasanii wetu au macelebrity wetu siunajua wanavyopenda life ya show off...
 
Hahahahaha kupata vichekesho kama hivyo andik Mtulia kisha tuma 23344.... Yaani fedha za katuni au maisha plus zinunue hammer hahahaha...

Infact, Mwananchi jamaa analipwa laki 8. Clouds 1.5... Maisha plus ilikufa longtime ago... Kilimo kamuulize millionea Sumry habari za kilimo, then ndio urudi tena
 
Inaonyesha umemjua juzi tu...

Halafu fuatilia hiyo hammer ni sh ngapi, utaona ni kawaida na ni haki yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…