Tafakari Jadidi
Member
- Mar 11, 2017
- 37
- 20
Tuambie afanya biashara gani? Mtaji alipata wapi? Je biashara hizo zaendeshwa kwa kufuata sheria? Umesema kumbi za disco zafungwa saa 6 nakwambia hizo zinazofungwa hivyo sio kumbi rasmi. Kumbi rasmi zina leseni ya kukesha na zina viwambo vya kunyonya sautiUna hilo tu au masoud najua ana yard ya magari jangwani toto kanko kitu kama hichi lbda ww umekuja mjini juzi kutoka kolomije ndio.mnaofnya kumbi za stareh kutufungia saa 6
Katuni inawezekana ndo imemtambulisha tukamjua ila biashara zake nyingine na uwekezaji zaidi anaweza kuwa navyo mkuu!Habari yanu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Umesema Masoud Kipanya ni mtoto mdogo??? Hivi pale alipo na 37-40 bado ni mdogo?Habari yanu wakuu,
Mimi nmeanzisha hii thread kutaka kujua ni biashara gani huyu Masoud Kpanya anafanya Mjini Dar. Haiwezekani mtoto mdogo awe anaendesha magari ya kifahari kwa kipato cha kuchora Katuni za Mwananchi.
Juzi kati alinipita na gari la kifahari nikajaribu kumpiga picha akaniacha alikuwa speed. Sasa leo nmemuona nikamzoom nikamfutoa kwa mbali.
Je katuni zinalipa kiasi hicho? Au naye ana wafadhili? Mbona hajioneshi kama anahela za kununua magari ya kifisadi?
Mwenye kujua katoa wapi hela. Au Mambosasa amuite amhoji tujue.
Tafakari jadidi hawa watoto wa mjini wamerithi nyumba za wazazi wao kkoo wakaziuza kwa bei nzuri usishandano naoTuambie afanya biashara gani? Mtaji alipata wapi? Je biashara hizo zaendeshwa kwa kufuata sheria? Umesema kumbi za disco zafungwa saa 6 nakwambia hizo zinazofungwa hivyo sio kumbi rasmi. Kumbi rasmi zina leseni ya kukesha na zina viwambo vya kunyonya sauti
Utajiri ni upi mkuu ???Kuendesha gari sio utajiri.Au kuishi kwenye jumba la kifahari sio utajiri pia.
Nadhani kiumri yupo 40+ so kumuita mtoto mdogo unakosea mzazi!