Angewekeza muda wake vzr nae angeendesha hammer pia!!Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?
Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Miaka 46Nadhani kiumri yupo 40+ so kumuita mtoto mdogo unakosea mzazi!
Eti anaitwa mtoto duhh!;Miaka 46