Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?

Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Angewekeza muda wake vzr nae angeendesha hammer pia!!
Akili za kimasikini ni taabu tupu!
 
Ila kiukweli na mm huwa najiuliza mtu km mpoki huko america kila mwezi huwa ni biashara gani... au ndo kutafta habari?
 
Daa hii hatari yaani watanzania ndio tumefilia hapa? Unashindwa kufanya jitihada ukapata pesa umebakia ujinga tuu, Na wewe jitahidi utapata hela hayo mawazo ya kuuliA mtu anapataje hela achana nayo sio mazuri na hayatakusaidia, mambo hayo tuliishi enzi nyerere ametangaZaa na kuishi kijamaa na kilichotokea kama ulikuwa umwshabalehe miaka ya mwanzo was 80th utanielewa.
 
Umri wake unaruhusu jipange na wewe unaweza ukamiliki ila usiwe na haraka subiri umri wako usogee kidogo
 
Inawezekana vyuma vimekaza mpaka watu wanaona vitu ambavyo ni vya kawaida kuwa si vya kawaida

Sasa kwa 'mitikasi' ya Masoud na fani zake ni ajabu kweli kuwa na hiyo gari ukizingatia pia kaanza ku 'hustle' muda tu ,lakini sikulaumu mtoa mada hii inaashiria tatizo au mfumo fulani tunao anza kuingia labda mwenye nacho atabaki kuwa nacho na wengi tutatopea ktk lindi la ufukara na hasa tusipojitoa na kuanza kuishi maisha ya kanuni za mabadiliko ya kiuchumi kitaifa na kimataifa
 
Tatizo wengi wamekariri kwamba huwezi kufanikiwa kwa njia za halali. Huyo jamaa ni mpambanaji.
 
HHhaaaaaaaaa,maisha yake mnalumbana nyie,hii ndio bongo land
 
40+age ktk harakati Za pesa ni km mzee Sana..wanasoka wengi huo umri Ni meet mkongwe na mstaaf ila wanamilik utajiri ghali mno, kwanza ki-rat kachelewa mno kupiga pesa Ili awe na helkopta ,cartoonist Ni pesa nyingi sn Sema bongo UNDINA tu kuelewa. Afu acha kuyaangalia maisha ya watu kwa mlengo HASI wewe, (oina omutima ghubi)/wakuloga iwe Kyoma.
 
Ww ndo wale mnakaa vijiweni mnasubiri mwny gari apite akusalimie,acha majungu tafuta chaneli,ht km kipato chake c halali ww haikuhusu yeye anaishi maisha yake na familia yake inaishi vyema,vjn wa kibongo mnaudhi sn.
 
Namshangaa muuliza swali, mwenzenu anapora chora tokea enzi ya chakubanga kabla hata hujazaliwa, anakusanya vijana porini hivi mnamuona chizi eeh. Ndo hivyo tena keshatoboa.
 
Haha.....waafrika tuna shida sana....Sioni kosa kwa mtoa mada..ni kitu cha kawaida tu kujua mwenzako kafanikiwa vipi....inakuwa sehemu ya inspiration tu...
Mbona wazungu ukitaka pata details zao za kufanikiwa unapata kabisa....sometimes hadi income yao unajua.....anamiliki nn unajua....
Mfano chukukia wacheza mpira...hata kama mtu analipwa £ 20,000 unajua tu..sio siri..manake ni pesa halali kabisa...
Leo hii ukitaka kujua Roman Abramovich kapataje utajiri....unajua kabisa....haya mambo sio siri....
Waafrika wengi magumashi tu.....tunashort cuts nyingi....sometimes ni aibu hata kuelezea hela tumetoa wapi...
Afrika wengi unasikia tu mtu anamihela..lkn ukirudi nyuma huoni mizizi...ndo maana husikii watu hao wakifanya motivational speeaches..au kutoa mihadhara kwenye vyuo kwa vijana on how wamefa ikiwa, jinsi gani wameweza kumanage pesa zao etc
 
Back
Top Bottom