Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,700
Angewekeza muda wake vzr nae angeendesha hammer pia!!Mnatoa wapi muda wa kufuatilia maisha ya watu nyie au mnalipwa kwa kufanya hivyo?
Laiti ningekuwa na huo muda ningefuatilia yenu mnaofuatilia watu.
Akili za kimasikini ni taabu tupu!