Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Mawazo ya kifukara sana.....we unadhan kila mwanamke ni wa kuchabangwa tu?
 
Wewe bado hujakua , unamitazamo ya kitoto Sana , Kama mtoto Wa darasa LA pili
 
Umasikini huo
 
Wanawake wana kazi sana, huyo dada anatabasamu pamoja na kuolewa mke wa nne, kweli tumetofautiana

Anyways, hongera sana kwake kwa kupata ndoa na kua mke namba nne, tunamtakia kila la heri
 
Ningejuwa mapema ningebadili dini ungekuta nami nina wawili sasa hivi,
Ila ndiyo hivyo tena acha tuendelee kusota!
 
Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
 
Tutake radhi mkuu.

Above 50 ndio mpango.

Ukifika utaelewa!
Labda kama kaoa kutimiza matakwa ya dini yake ya uislam. Nakwambia kutoa huduma za kitandani ni kazi ngumu kwake. Atasaidiwa tu. Sema na hawa dada zetu nao hamnazo. Unaendaje kuolewa na mzee kama yule? Kwa hali ya kawaida watoto watakaozaliwa watakuwa yatima muda si mrefu. Masudi afurukute miaka 20 mbele tena na hio mzigo aliojibebesha!? Anawakati mgumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…