Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Watu wa mjini ndiyo wanadiss hizi mambo za mitala. Lakini mikoa ndani ndani huko watu kuoa mitala kawaida hata kama dini zao haziruhusu.
 
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa


halafu wakeze walivyo pisi sasa......


kuna watu watafaidi sambamba nae.......


NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
Punguza wivu
 
Hakuna kero yoyote ya kuoa mke mmoja. Uislamu unapenda zinaa ndio maana ni dini ya kishetani. Sio dini mambo yake mengi ni ushetani tuu. Kupiga ramli, jihad, majini yaani ushetani hasa. Ukimchoka mke unamuacha tu Kwa talaka unaoa mwingine tena rafiki wa mke wako. Ushetani haswa huu. Kipanya hapo ni mke wa tano. Kuna dini hapo. Someni kitabu haya za kishetani mtaona.
UISLAMU SIO DINI YA MUNGU.
Umewaita, sasahivi wanakuja na mabomu yao
 
Hakuna kero yoyote ya kuoa mke mmoja. Uislamu unapenda zinaa ndio maana ni dini ya kishetani. Sio dini mambo yake mengi ni ushetani tuu. Kupiga ramli, jihad, majini yaani ushetani hasa. Ukimchoka mke unamuacha tu Kwa talaka unaoa mwingine tena rafiki wa mke wako. Ushetani haswa huu. Kipanya hapo ni mke wa tano. Kuna dini hapo. Someni kitabu haya za kishetani mtaona.
UISLAMU SIO DINI YA MUNGU.
Ni dini yako?
 
Uchu tu!hakuna mwanaume wa miaka 50 anaeweza kuridhisha wanawake wanne labda atumie booster
 
Kwahiyo Mfalme Suleiman na hekima zake zote alikuwa anazini?

Alikuwa na wake 700 na masulia 300.
Uki soma vitabu vya Mfalume Suleiman uta ana sema kabisa yote aliyo fanya ni "utupu na kujilisha upepo" yani ana juta, ana hakuona faida yoyote ya kua na wake wengi.

Kwenye ulimwengu wa kistaarabu tu kuwa na wanawake wanne ni ubatili. Yani hisia zime zidi ufahamu wako ama zime kutawala.
 
Hizo ni tamaa tu hata kama dini inalihusu lakin mazingira yamebadilika
Kivipi? Mazingira yanafanyaje suala la kuoa mke zaidi ya mmoja kwa Waislam lisiwezekane?
Hata Huko Uarabuni vijana wengi wa huko Sasa hivi wanaoa mwanamke mmoja tu
Hao vijana sio viigizo vyetu katika Dini yetu. Viigizo vyetu sisi ni Mtume (Swalla Allahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) na Maswahaba zake (Salaf).

Hivyo sisi na hao vijana wa Kiarabu wote tunatakiwa kuiga kutoka kwa viigizo vyetu katika Uislam.


.Kuoa wanawake wengi ni migogoro katika familia
Elezea kivipi?
Sawa ana uwezo wa kuwahudumia na ni maisha yake lakini sio mfano wa kuigwa katika jamaii .Ingekua vizuri Sana nisikie Kipanya kafungua kampuni na sio kuongeza mke wa nne.
Kwahiyo Mtu asiifuate dini yake inavyomfundisha kwa kuhofia jamii (ambayo ndani yake pia kuna watu wasio katika dini yake). Masoud Kipanya kufanya hivi ni mfano mzuri kwa Waislam wanaofuata Dini. Wewe kama sio Muislam subiri afungue Kampuni umsifu. Suala la Dini yake halikuhusu.
 
Ni kweli lakini kumbuka mazingira yamebadilika sio kama ya wakati huo. Leo hii warabu wengi ambao ni waisalam wanaoa mwanamke mmoja tu vp hujiulizi ni kwa nini? Nyakati za manabii wanawake walikua ni kwa ajili ya kuwahudumia wanaume wao tu na kipindi hicho mfumo dime tu ndo ilikuwepo lakini Leo hii Kuna kitu kinaitwa haki sawa vipi huoni ni kutafuta matatizo tu?
Waarabu wa sasa sio kiigizo katika Dini. Tayari Waislam Duniani kote wana wa kuwaiga katika kuifuata Dini. Hao Waarabu wako pia wanatakiwa waige mfano wa Salaf. Kama hawafanyi hivyo basi ni wao wanazembea kama vile tunavyozembea baadhi yetu sisi.
 
Back
Top Bottom