Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huuu ni uchonganishi huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hapo huyo kipara ni january makamba, mtu mzima yule pale nyuma anashangaa ambavyo mama kwanza kambeba halafu anaendelea kumpa maziwa anyonye huku akiwa mgongoni ndio yule mwenye akili timamu anashangaa sana mtu mzima kudekezwa kiasi hicho
Natania mkuuGari za masudi kama masudi sio hz kampuni za nje.
Mi naona yule aliyebebwa ni Kama DJ, tena kapewa na chupa la maziwa ili asipige kelele ili Watu wafanye yao!!Yaani hapo huyo kipara ni january makamba, mtu mzima yule pale nyuma anashangaa ambavyo mama kwanza kambeba halafu anaendelea kumpa maziwa anyonye huku akiwa mgongoni ndio yule mwenye akili timamu anashangaa sana mtu mzima kudekezwa kiasi hicho
Afu mwamba Yuko pembeni anazoomWanaobebwa jinsi wanavodekezwa kwa mamaView attachment 2466565
alafu huyu mtoto kama kipara kuanzia mwenzi huu
Hawa nzi ndo chadema aNzi wameshafunguliwa .unawafahamu nzi walivokuwa na tabia zaoView attachment 2466564
Bwa kuisha sio hoja ya kua suruhisho la umeme hapa tanganyika, hoja ni kuwa na mvua za uhakika kujaza bwawa hilo.Inshu sio makamba kutoka atakuja mwingine atatoka cha muhimu bwawa la MJKN liki isha ndio itakuwa suruhisho la umeme waziri kwa upande wangu sija ona shida yake
Dj hana kipara,aliyebebwa ana kipara angalia vizuri,Dj ana pesa na haitaji mbeleko kupata pesa ila kipara anahitaji kubebwa ili aleMi naona yule aliyebebwa ni Kama DJ, tena kapewa na chupa la maziwa ili asipige kelele ili Watu wafanye yao!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo ni wale wazee wa vijana mjiajiri wakati yeye mwenyewe ananyonya tu mema ya nchi.Huyo mama mbona kambeba...............,?
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi ile kampuni ya magari ya umeme aliyoianzisha inaendeleaje?
Bado sijakutana na gari zake barabarani.
Hivi makamba aliwafanya nn jf?!!! Maana naona kuna watu wanasahau hadi kwenda kubadilisha pedi ili tu wapate muda mwingi wa kumsema na kumtukana makamba.
Kick kwa pikipikiyaa kipanya.
keypee motors.
Kujaa litajaaa, kikubwa tuwa na mchanganyiko wa vyanzo, ili kipindi cha ukame tunatumia gesi zaidiBwa kuisha sio hoja ya kua suruhisho la umeme hapa tanganyika, hoja ni kuwa na mvua za uhakika kujaza bwawa hilo.
Labda kama likijaa hayaishi, hapo sawaa