Masoud Kipanya na Fina Mango warejea Clouds FM na kuongoza Power Breakfast

Ila Fina Mango kabadilika amekuwa wa njano,wenzake wakitoka kwenye weusi wanakuwa weupe yeye amekuwa wa njano.

Awe wa njano au vipi, I don't care, I for one I like intelligent girls/women
 
Oh I will miss PJ and G. Hando! their strong voluminous voices!
 
Wako live bt maybe hawajaajiliwa tena
 
Kipanya namkubal sana. Amelipwa bei gan lakin? Maana alifukuzwa kama house girl akaamua kufa kijerumani na sasa amerudi kama shujaa
 
Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile lakini nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
 
Binafsi naikubali sana combination ya Masoud na Fina. Hongera sana Clouds,Hongera sana Powerbreakfast,Babra na Bonge hongereni sanaaaaaaa
 
Wenye PB yao wamerudi sasa Clouds sio watu wazuri kabsaa.Nimefurahi kuwasikia Kipanya na Fina
 
Hawa watu niliwamisi sana karibuni sana power breakfast watu wanaweza kusema hili na lile kln nyie mmeletwa kwa mikataba minono Fina from abroard na Kipanya from Private owned company pigen hela
kweli.. ndio ajira za kisasa za waajiri wetu, wanatubadilisha kama mahindi ya kuchoma....
 
Wana chemshwa bongo wajinga walio kua wanasema walifukuzwa na hawapatani na clouds media ..kwahyo wamerudshwa kumbe wanafanya leo tu na hawana bifu lolote.....
 
Kesho katika Power Breakfast msishangae kuona PJ na Hando wanafanya mambo yao. Lengo ni kusherehekesha akili za wasikilizaji siku ya wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…