Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
 
Yaani kwa fikra za hao watu, mtu yeyote anayepinga uonevu, djuluma, utekaji, ufisadi na mauaji, lazima awe CHADEMA. Yaani ina maana watu wenye akili timamu ni CHADEMA pekee? Katika uhalisia hakuna mtu mwenye akili timamu, anayeweza kuacha kukemea haki yake, ya ndugu yake inapochezewa au kuporwa. Ina maana wameifanya CCM na vyama vingine vyote, ni maalum kwa wasio na akili timamu!!
 
Viongozi wa sirikali baadhi na wanadoria mitanadaoni ni wapuuzi sana na maZERO brain ,sasa mtu akilalamika maji hakuna ,akilalamika barabara mbovu ,akilalamika ugumu wa miasha baada ya vitu kupanda BEI lazima awe CHADEMA? Kwani kuna maduka ya sisiemu peke yao? Hizo barabara au maji yapo wanayotumia cdm peke yake?
 
sahihi 100%

hata humu, ukionekana unaipigania haki unaonekana ni chadema.

yani ni kama vile chadema pekee yao ndio wapigania haki na sio vinginevyo, wengine humu hatushabikii chama chochote ila tunaongea ukweli.
 
Unaweza kupigania au kuhoji jambo fulani ambalo
Linamgusa kila mtu bila kujali ni wa chama gani au mtu fulani
Lakini litaibuka jitu linasema nyie wapinzani mshaanza chokochoko zenu 😄

Ova
 
Yaani kwa fikra za hao watu, mtu yeyote anayepinga uonevu, djuluma, utekaji, ufisadi na mauaji, lazima awe CHADEMA. Yaani ina maana watu wenye akili timamu ni CHADEMA pekee? Katika uhalisia hakuna mtu mwenye akili timamu, anayeweza kuacha kukemea haki yake, ya ndugu yake inapochezewa au kuporwa. Ina maana wameifanya CCM na vyama vingine vyote, ni maalum kwa wasio na akili timamu!!
Kama wanakiri wenyewe kuwa watu wenye uwezo wa kuhoji na kukataa uovu ni Chadema tu sisi ni nani tukatae kuwa CCM ni Chama Cha Majuha?
 
Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
Kipindi cha Mr Push up huyu jamaa yalimpata ya kumpata akaifaziwa gizani kama siku 3 Kisha akaachiwa, wafukunyuku walipotaka kujua kupitia mwenyewe akajifanya kuzuga, sa sijui walimfanya nini team Magu ikiongozwa na Sabaya na Makonda!!, Sasa hivi domo kama Chuchungi.
 
Kwa hiyo ulifurahia kufichwa kwake na sasa unawaalika wafichaji waje kumficha tena siyo? Acha kumuuzia uoga!
Wafichaji ni waoga wa hoja na ukweli.
 
Kipindi cha Mr Push up huyu jamaa yalimpata ya kumpata akaifaziwa gizani kama siku 3 Kisha akaachiwa, wafukunyuku walipotaka kujua kupitia mwenyewe akajifanya kuzuga, sa sijui walimfanya nini team Magu ikiongozwa na Sabaya na Makonda!!, Sasa hivi domo kama Chuchungi.
Mdomo wake kama chuchunge umeongea kitu gani kibaya?
 
Back
Top Bottom