Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

Huu ujinga huwa ni credit sana kwa Chadema, maana yake Chadema ni alama ya haki
 
Hii nchi inastahajabisha sana ... father Kitima, Warioba, Gwajima n.k wa alivyokuwa wanatetea haki.uwajibikaji . Kukataza mauaji na utekaji wakawa wanaonekana wabaya .
 
Unaweza kupigania au kuhoji jambo fulani ambalo
Linamgusa kila mtu bila kujali ni wa chama gani au mtu fulani
Lakini litaibuka jitu linasema nyie wapinzani mshaanza chokochoko zenu 😄

Ova
 
sahihi 100%

hata humu, ukionekana unaipigania haki unaonekana ni chadema.

yani ni kama vile chadema pekee yao ndio wapigania haki na sio vinginevyo, wengine humu hatushabikii chama chochote ila tunaongea ukweli.
Na kinyume chake vilevile ukipinga jambo pia ambalo linaungwa mkono na mlengo flani lazima watakuita CCM kiufupi hutakiwi kua na mawazo huru
 
We bas siku tukipata uhuru ,kimbia nchi mapema
hakuna atakaeihama Tz,
na hayupo wa kuongoza mapinduzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi zadi ya serikali sikivu ya CCM tu.

ni vizuri kufahamu hilo na kuondokana na imani potofu nonsense za kishirikina gentleman
 
Nchi za Kiafrika zimejaa watu wa hovyo sana.
Yaani mtu ambaye hana BIMA ya Afya, hana uhakika wa maisha ya uzeeni, hana uwezo wa kupeleka watoto shule, hana chochote lakini bado akisikia mtu anasema serikali inatakiwa kuboresha kitu fulani, yeye anaona kuwa anayeongea ni mpinzani.
Nchi inahitaji wananchi wanaojua haki zao, wajibu wa serikali na elimu ya uraia.
 
Chadema inawaumiza mno chama cha majambazi, ijapokuwa hakina mbunge hata mmoja bungeni lakini kinawapeleka puta
 
Kipindi cha Mr Push up huyu jamaa yalimpata ya kumpata akaifaziwa gizani kama siku 3 Kisha akaachiwa, wafukunyuku walipotaka kujua kupitia mwenyewe akajifanya kuzuga, sa sijui walimfanya nini team Magu ikiongozwa na Sabaya na Makonda!!, Sasa hivi domo kama Chuchungi.
Unasifia majambazi kama Sabaya na Makonda jambazi lenye ban ya kuingia US.

Sabaya ameteka watu akiwa na genge lake wakiwa na silaha za moto , sijui sheria gani inasema mtu akikosea akahifadhiwe huko "gizani" huenda wewe ulikua miongoni mwa vidampa waliokua wakishiriakana na hao majambazi ikiwemo tukio la kuvamia studio usiku.
_95235956_14bb155b-39c5-40d0-98c9-fdeee498711e.jpg (1).webp
 
Na kinyume chake vilevile ukipinga jambo pia ambalo linaungwa mkono na mlengo flani lazima watakuita CCM kiufupi hutakiwi kua na mawazo huru
sahihi kabisa, watu humu hawataki kupingwa ,kila wanachokiandika wanataka kiwe ndio tuu.
 
Back
Top Bottom