Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Walikuwapo kipindi cha Magu tu mkuu.Kwa hiyo ulifurahia kufichwa kwake na sasa unawaalika wafichaji waje kumficha tena siyo? Acha kumuuzia uoga!
Wafichaji ni waoga wa hoja na ukweli.
Mchochezi.Mdomo wake kama chuchunge umeongea kitu gani kibaya?
Uchochezi uko wapi hapo!?Mchochezi.
Kama hauoni, hata ukioneshwa hautaona.Uchochezi uko wapi hapo!?
Unaweza kupigania au kuhoji jambo fulani ambalo
Linamgusa kila mtu bila kujali ni wa chama gani au mtu fulani
Lakini litaibuka jitu linasema nyie wapinzani mshaanza chokochoko zenu 😄
Ova
Na kinyume chake vilevile ukipinga jambo pia ambalo linaungwa mkono na mlengo flani lazima watakuita CCM kiufupi hutakiwi kua na mawazo hurusahihi 100%
hata humu, ukionekana unaipigania haki unaonekana ni chadema.
yani ni kama vile chadema pekee yao ndio wapigania haki na sio vinginevyo, wengine humu hatushabikii chama chochote ila tunaongea ukweli.
We bas siku tukipata uhuru ,kimbia nchi mapemasawa 🐒
hakuna atakaeihama Tz,We bas siku tukipata uhuru ,kimbia nchi mapema
Unasifia majambazi kama Sabaya na Makonda jambazi lenye ban ya kuingia US.Kipindi cha Mr Push up huyu jamaa yalimpata ya kumpata akaifaziwa gizani kama siku 3 Kisha akaachiwa, wafukunyuku walipotaka kujua kupitia mwenyewe akajifanya kuzuga, sa sijui walimfanya nini team Magu ikiongozwa na Sabaya na Makonda!!, Sasa hivi domo kama Chuchungi.
sahihi kabisa, watu humu hawataki kupingwa ,kila wanachokiandika wanataka kiwe ndio tuu.Na kinyume chake vilevile ukipinga jambo pia ambalo linaungwa mkono na mlengo flani lazima watakuita CCM kiufupi hutakiwi kua na mawazo huru
Mdomo wangu na wa kwako yote inafanana. Basi na wewe ni chuchunge piaCCM ni wajinga sana hawaelewi haya mambo, ndio maana machawa wao mtandaoni wakina ChoiceVariable Stuxnet wanaimba chadomo kila siku na midomo yao kama chuchunge.
Huyu lazima watamzingua kwenye vibali vya yale magari yake!Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.