Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kila mtu ana njia zake za kufikisha ujumbe kwa hadhura aliyoikusudia, kwa mtu kama Masoud hiyo ndio njia sahihi, hilo la kutaja majina awaachie kina Zitto, Lisu, Mbowe na wanasiasq wengine. Halafu hiyo sio tafsida kabisa.Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
In fact anachokiongea kina mantiki zaidi kulikoni kilichoandikwaKila mtu ana njia zake za kufikisha ujumbe kwa hadhura aliyoikusudia, kwa mtu kama Masoud hiyo ndio njia sahihi, hilo la kutaja majina awaachie kina Zitto, Lisu, Mbowe na wanasiasq wengine. Halafu hiyo sio tafsida kabisa.
PhDNguli wa vibonzo ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
PhDNguli wa vibonzo ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Hapa Kipanya anamaanisha kuwa viongozi wetu wanatakiwa wawe na maono na akili kubwa na wenye kuone kesho inahitaji nini kama taifa na sio wenye kuwa na mitazamo kama wanaowaongozaToo general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Kaka yangu Masoud hamaanishi ufupi wala urefu wa vipimo; bali uwezo wa kufikiri kwa kina na si kwa kiwango cha chini. Sasa na mimi namchallenge; hii ni fallacy... ambayo haikubaliki. Angekuwa specific angalau tungejadili issues kwa hiyo sekta. Kuna mambo makubwa nchi hii yanafanyika na changamoto ktk nchi kubwa kama hii hazikosekani.πππNguli wa vibonzo ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Wewe ni pumbavu!Too general statiment