Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hojaNguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
P