Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hojaNguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Kipanya anatumia fani yake kuongea. Ktk jamii yenye tatizo, kumkabili mtu personally hiyi attack hairuhusiwi. Lengo ni ufumbuzi wa tatizo sio kutengeneza tatizo kwa kumkabili mtu personally. Nadhani ujumbe wa kipanya unalenga kulionyesha tatizo kisha litafutiwe ufumbuzi kwa njia sahihi. Wewe hicho unachotaka cha kutaja majina. Taja wewe. Lakini kwa alivyongea mbona majina yatakuwa mengi maana yataanzia ngazi ya mtaa!! Nampongeza kipanya kwa kuliweka kiujumla na lipo kwa ujumla wake.Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Hao ni waliopo. Wasiokuwepo umewasahau. Ila tusijadili watu tujadili hoja. Ivi kwa mfano. Ajali. Imetokea, watu wana majeraha kila mahali na wanatokwa damu ajabu! Je, ni sahihi daktari nae kushangaa badala ya kutibu? Wanasiasa watuokoe kwa hoja na vitendo badala ya kuanza kushikana machoni na kutiana upofu ili aliekwaza mwingine eti asiione mbele yake. Tunaoumia ni walala hoi. Wajitahidi kufanyia kazi hoja zinazoibuka kwa salama yetu na salama yao. Hivi ipo haja gani ya mtu kujilimbikia pesa ktk jamii inayotafunwa na utitiri. Utitiri ipo siku utakufikia tu. Hata kama ni kizazi chako cha tisa. Tujenge nchi tusijenge nafsi zetu tukidhani tuko mtini mafuriko yalipo ardhini hayatufikii wakati miti imeota chini kuliko ma maji. Mizizi ikioza utashuka kwa kishindo hadi tulioko majini tutakushangaa. Tuijenge Tanzania kwa kuukwepa UKOLONI MAMBOLEO. Mbona tulifundishwa ktk siasa na historia! Ni vipi leo hatuuoni, unaingia tu mdogomdogo. Hayaa, kama naishi bado, yangu macho.Mbele ya lile jitu nani angeweza kusema ngw'e!!!! Walioweza ni wawili tu nchi mzima Lissu na Sheikh Ponda wengine woooote nyongo zilikua zinatumbukia tu tumboni tukiwa kimya
Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
"shortness of a(our)leader"In fact anachokiongea kina mantiki zaidi kulikoni kilichoandikwa
Ufafanuzi upo kwa alichokiongea walau kinamake sense kuwa tatizo lipo kwa "shortness leader"
Jokes
Upumbavu unatokea wapi?Kila mtu ajadili kwa kadiri ya anavyoona.Wewe ni pumbavu!
Watu wana discuss issues ,wewe unataka kujadili watu !
Kasheku Musukuma ataanzisha ugomvi.ππππMasoud Kipanya akabidhiwe PhD yake ASAP
PhD
Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Yaani nikikumbuka msukuma ametunukiwa Phd nachoka kabisaπKasheku Musukuma ataanzisha ugomvi.ππππ
Msomi mkubwa sana yule.Usimchezee kabisa!ππππYaani nikikumbuka msukuma ametunukiwa Phd nachoka kabisaπ
Na yeye atuambie vile vibajaji alivyozindua vimefikia wapi??Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa tupate Viongozi warefu na si wafupi wa kila kitu kama waliopo sasa.'
Kipanya.
View attachment 2427592
Umetoka nje ya mada..jadili lililopoNa yeye atuambie vile vibajaji alivyozindua vimefikia wapi??
Nimeamua kukojolea nje... sitaki tia mimbaUmetoka nje ya mada..jadili lililopo
Una upeo mdogo sana omba radhi hata hujasikiliza clip hio. Watanzania huu umbulula mmeumbwaje?hujaelewa nini? Wewe hakika ni zombi kichwaniToo general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Unaumiza kichwa kumjibu huyo ana upeo mdogo sana wa kidwanzi ana mapepo amaezoea maghettoni Kwa popo bawa na mitumbwi ya vibwengoKipanya anachojaribu kuzungumza katumia mtazamo wa falsafa kuangalia uwezo wa viongozi wanaotuongoza wengi kama sio wote sio visionary na hawawezi kuforesee au hawana uwezo wa kutatua matatizo ya wananchi yaani mwananchi analia maji au umeme na kiongozi hana jawabu lolote juu ya matatizo ya wananchi wake yaani kiongozi anakua kilaza kama vilaza wengine, kwani haujawahi kuona majibu ya viongozi wetu hadi unajiuliza huyu alikuaje kiongozi? Kwahiyo tunapaswa kua na viongozi wenye mitazamo ya mbele wenye fikra za mbali sana yaani utabiri wa mwaka huu unasema mvua zitakua chache lakini hujamuona kiongozi yoyote akijaribu kuhamasisha watu wapande mazao ya muda mfupi na yale yanayohimili ukame, yaani kiongozi nae anategemea kudra za Mwenyezi Mungu ili kutatua matatizo ya anaowaongoza