Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

Kaongea point kabisa. viongozi badala ya kutatua matatizo naye analalamika kama mwananchi wa kawaida. That is stupid
 
Very bright ndiomana alipewa kipaya Cha kuchora katuni
 
Sijui urefu una maana gani lakini ukiwa futi 5 kushuka huwezi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani...Mgombea Michael Dukakis alikuwa mahiri lakini alishindwa uchaguzi kwa sababu ya ufupi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ubaguzi wa wazi kabisa.Kwani "sisi" watu wafupi tuna shida gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa!

Ina Maana Bashiru ni mrefu sio!!?

Kuliko HUYU!?

Unataka kusemaje wewe!?
 
Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Kama umeshindwa kumwelewa Kipanya..basi umebakiwa na akili ya kula chakula tu!
 
Masoud katoa mfano rahisi wa Twiga( mrefu) na wanyama wengine( wafupi)..kushindwa kuelewa hapo lazima uwe mgonjwa wa akili..
 
"Eti raia wanalalamika viongozi nao wanalalamika" ni kweli yake Masoud hii huikuti Nchi nyingine yeyote Duniani πŸ˜‚
 
Too general statiment
Mtu akitoa sentensi kama hizi maana yake anajificha nyuma ya tasfida na hapo ni kukwepa uwajibikaji na uwezo mdogo wa kuwa wazi na kunyooka kwenye hoja
Sasa viongozi wafupi ni akina nani? Watajwe
Nyooka wewe basi
 
Kama huelewi toka humu jamii forum maana huna AKILI na umejiingiza kwenye home of great thinkers toka haraka sana kabla haujaehuka maana hapa ni mahali pa watu wenye akili.
 
100% sure
 
Hapo ujue huyu mtu ni mwoga hata kama ukimuuliza kile kile alichokimaanisha anaruka. Mtu kama huyu anaishi kama dugidigi .hajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…