Kuna maswali kidogo: 1. Nani alikuwepo mwingine dukani wakati wa tukio na hao waliomchukua walimvamia na kumbeba mzobemzobe kimafia au waliongea na kikubaliana?
2. Kama kulikuwa na raia wengine pembeni na ndugu yetu kafuatwa na watu wasiojulikana; na akakubali kuondoka nao tena saa 11.000 jioni, bila kuomba msaada kwa hao raia wenzake, basi tuanze kufikiria nyendo zake binafsi za kibiashara au maisha yake mengine ktk jamii. Hao wanajuana.
3. Kama waliofika dukani walijatambulisha ni watu wa vyombo vya dola, kwanini tuwaite wasiojulilana? #Tuondoea hisia zisizo na FACTS bali tujaribu kuestablish FACTS.🙏🙏🙏