Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

Katika mazingiria Kama hayo,

Ni ngumu sana kuona mtu akisaidia kwa namna yoyote Ile,ukizingaia watanzania tulijazwa hofu Sana na jiwe.

Unaweza kujikuta unataka kutoa msaada, na wewe unaondoka pia.

Ktk swali, no.3

Unatuaminishaje Ni vyombo vya wakati hata sehemu husika hawana taarifa yoyote?

Je, hiyo Ni njia ya kumchukua mtuhimiwa?
Ninachokikataa siku zote za hao wanaoitwa wasiojulikana ni kuhusishwa na labda askari. Lakini hakuna FACTS za kujustify hilo. Hivi tunajua ukidhulumu biashara wenzako wanaweza kukufanyia kisichojulikana? Ukiiba mke au mchumba wa mtu wasiojulikana (wenye mke au mchumba) wanaweza kufanya yasiyojulikana?

Ndiyo maana naona utata sana wa hili tukio. Pia kusema huwezi kuomba msaada kama umefuatwa na usiowajua, hilo nalo nalikataa. Hakuna mtu anaweza ua watu wa mtaa mzima. #Tanzania ni nchi yenye usalama wa hali ya juu wa raia. Hawezi kutokea hata mwendawazimu ashike bunduki aue watu 10 kama Marekani au Ulaya. 🙏🙏🙏
 
Tazara,ostabey,mikocheni ... Ukikamatwa kwa staili hiyo
 
Swali la msingi sana.
Kwa teknolojia ya sasa na hizi smartphone unashindwaje kupiga picha.

Hata wakikutisha, wakiondoka tu unapiga picha, phone camera za siku hizi una zoom hata mita 100 unapata clear picture kabisa.
Mimi nahisi watu wa aina yako huwaga mnajidanganya... sasa kama ndo ukipiga picha au ukajua namba ya gari itakusaidia nini?! Wasiojulikana wana nguvu kubwa mno ndani ya nchi yoyote duniani! Asikwambie mtu! Kwanza ushawahi kuona wanazungumziwa hovyohovyo hata serikalini?! Vikao vyao hao huwaga wao na Rais tu! Hakuna kenge mwingine wanaweza kuongea nae! Na wakikutaka watakupata muda wowote na mahali popote! Musidanganyike! Tena ukija kuona action tulia!
 
Hawa siyo wasiojulikana wa enzi za jiwe. Hawa ni wahuni tu waliojifanya kuwa wasiojulikana.

Lengo la hawa wahuni ni kumchafua mama na ndiyo maana futuhi hii imefanyiwa "at the hub of sukuma gang".
Kwa jpm lengo halikuwa kunchafua mama ni kunchafua
Jf vijana wanafiki mpo wengi sana
 
Hawa siyo wasiojulikana wa enzi za jiwe. Hawa ni wahuni tu waliojifanya kuwa wasiojulikana.

Lengo la hawa wahuni ni kumchafua mama na ndiyo maana futuhi hii imefanyiwa "at the hub of sukuma gang".
Hiyo (TANZANIA) ni nchi hatari sana n makini mno kwenye maswala ya usalama na ulinzi... asikwambie mtu! Hapo mtaani kwako unapoishi kwa taarifa yako kwenye watu 10, watu 7 ni usalama. Wako makini mno! Upuuzi kama huo katu si rahisi kufanyika, wakikutia mikononi utajinyea. Si rahisi kucheza igizo la namna hiyo.
 
Matacle yako wewe, acha stori za kipuuzi
 
Duh...!, hao watakuwa sio wasiojulikana, hao watakuwa ni wale vijana wa kazi, wasiojulikana hawatumii pingu!, hivyo msiwe na haraka, bado wanahangaika nae, akawaonyeshe hicho walichomkamatia, kisha ndio watamfikisha kituoni.
P
Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
1672363749039.png
 
Duh...!, hao watakuwa sio wasiojulikana, hao watakuwa ni wale vijana wa kazi, wasiojulikana hawatumii pingu!, hivyo msiwe na haraka, bado wanahangaika nae, akawaonyeshe hicho walichomkamatia, kisha ndio watamfikisha kituoni.
P
At least umewaelewesha
 
Back
Top Bottom