Ninachokikataa siku zote za hao wanaoitwa wasiojulikana ni kuhusishwa na labda askari. Lakini hakuna FACTS za kujustify hilo. Hivi tunajua ukidhulumu biashara wenzako wanaweza kukufanyia kisichojulikana? Ukiiba mke au mchumba wa mtu wasiojulikana (wenye mke au mchumba) wanaweza kufanya yasiyojulikana?Katika mazingiria Kama hayo,
Ni ngumu sana kuona mtu akisaidia kwa namna yoyote Ile,ukizingaia watanzania tulijazwa hofu Sana na jiwe.
Unaweza kujikuta unataka kutoa msaada, na wewe unaondoka pia.
Ktk swali, no.3
Unatuaminishaje Ni vyombo vya wakati hata sehemu husika hawana taarifa yoyote?
Je, hiyo Ni njia ya kumchukua mtuhimiwa?
Ndiyo maana naona utata sana wa hili tukio. Pia kusema huwezi kuomba msaada kama umefuatwa na usiowajua, hilo nalo nalikataa. Hakuna mtu anaweza ua watu wa mtaa mzima. #Tanzania ni nchi yenye usalama wa hali ya juu wa raia. Hawezi kutokea hata mwendawazimu ashike bunduki aue watu 10 kama Marekani au Ulaya. 🙏🙏🙏