Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

Hao huitwa "keyboard warriors", kamwe usijichanganye kufata wanachokuelekeza humu JF maana wako vise versa is totally true by 100%.
Yaah kama WAJUMBE vile wakati wa Uchaguzi.

Wanakwambia:-
"Gombania Nafasi tupo nyuma yako" ukigeuka nyuma huwaoni.
 
Wasiojulikana ni wale wahuni ambao hawajulikani, vijana wa kazi ni plain clothed police, ndio wanaotumia pingu.

P
Hata wewe unaweza kumiliki pingu mbona...
Any way haya mambo yanaweza kuwa ya mjini mjini
Dhuluma, kutembea na wake za watu nk
Dunia uwanja wa fujo

Ova
 
Karibu, mimi ni mwandishi wa IJ, hivyo hao wasiojulikana sisi waandishi wa IJ, tunawadakua within no time!, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Na serikali yetu iliposhindwa kuwabaini wasiojulikana, watu humu tukajitolea kusaidia WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
P
Pelelezeni basi kwanza mjue huyo kijana anajishugulisha na nini?
Je ni mfanyabiashara au mwanaharakati wa kisiasa

Ova
 
Kuna miili ya watu wawili imeokotwa na polisi kwenye kilima kati ya Pangawe na Kiroka Morogoro vijijini. Inasemekana mili hiyo ilikuwa imenyongwa.. inasemekana pia ni miili ya wanaume wa umri wa kati.

Uhuni umerudi kama enzi zile.. tuamke.. tunaweza kuisha kiboya kama tunaendelea kuwachekea maccm
 
Kuna miili ya watu wawili imeokotwa na polisi kwenye kilima kati ya Pangawe na Kiroka Morogoro vijijini. Inasemekana mili hiyo ilikuwa imenyongwa.. inasemekana pia ni miili ya wanaume wa umri wa kati.

Uhuni umerudi kama enzi zile.. tuamke.. tunaweza kuisha kiboya kama tunaendelea kuwachekea maccm

Mlikuwa mnasema Mzee Jpm sasa hayupo na mambo yanaendelea
 
Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.

View attachment 2459115
Kuna maswali kidogo: 1. Nani alikuwepo mwingine dukani wakati wa tukio na hao waliomchukua walimvamia na kumbeba mzobemzobe kimafia au waliongea na kukubaliana?

2. Kama kulikuwa na raia wengine pembeni na ndugu yetu kafuatwa na watu wasiojulikana; na akakubali kuondoka nao tena saa 11.000 jioni, bila kuomba msaada kwa hao raia wenzake, basi tuanze kufikiria nyendo zake binafsi za kibiashara au maisha yake mengine ktk jamii. Hao wanajuana. Haingii akilini ufuatwe na watu usiowajua tena jioni halafu ukubali kuondoka nao kirahisi bila kuomba msaada kwa raia wenzako jirani.

#Tuondoea hisia zisizo na FACTS bali tujaribu kuestablish FACTS. Tukio limejaa utata🙏🙏🙏
 
Kuna maswali kidogo: 1. Nani alikuwepo mwingine dukani wakati wa tukio na hao waliomchukua walimvamia na kumbeba mzobemzobe kimafia au waliongea na kikubaliana?

2. Kama kulikuwa na raia wengine pembeni na ndugu yetu kafuatwa na watu wasiojulikana; na akakubali kuondoka nao tena saa 11.000 jioni, bila kuomba msaada kwa hao raia wenzake, basi tuanze kufikiria nyendo zake binafsi za kibiashara au maisha yake mengine ktk jamii. Hao wanajuana.

3. Kama waliofika dukani walijatambulisha ni watu wa vyombo vya dola, kwanini tuwaite wasiojulilana? #Tuondoea hisia zisizo na FACTS bali tujaribu kuestablish FACTS.🙏🙏🙏
Katika mazingiria Kama hayo,

Ni ngumu sana kuona mtu akisaidia kwa namna yoyote Ile,ukizingaia watanzania tulijazwa hofu Sana na jiwe.

Unaweza kujikuta unataka kutoa msaada, na wewe unaondoka pia.

Ktk swali, no.3

Unatuaminishaje Ni vyombo vya wakati hata sehemu husika hawana taarifa yoyote?

Je, hiyo Ni njia ya kumchukua mtuhimiwa?
 
Back
Top Bottom