Maswali 10 kuhusu maandiko ya Lucas Mwashambwa na hoja zake

Kwa sasa habari ya mjini ni Lucas mwashamba, na siyo hiyo chawa inayoitwa Lucas Mwashambwa.
 
Maswali yako Yoote nilishayajibu humu jukwaani. Fungua maandiko yangu upate majibu ya maswali yako. Kwa sasa naandaa andiko zito kwa ajili ya kumjibu polepole Humphrey
Vipi kilio chako bado hakijasikilizwa! Ni mwendo wa kunyooshwa tu na mwenye jina lake halisi ndugu Lucas mwashamba. Mwaka huu ukitaka upone, jiite Lucas samia.
 
Sema tu viongozi wetu wana maadili mema.
Kama ni Kenya halafu akatoa sifa kwa viongozi wa MOMBASA sasa hivi angekua na mwili laini.
 
Haya uliyoandika,Kila Mtanzania mwenye akili anajiuliza

Tatizo ni kwamba hii super chawa inayoitwa Lucas ubongo wake hauna marinda,walishatatua marinda yote ndio maana anaandika uharo tupu
 
🙋✍️🎯👏👍🤝🙏💐 🎁
 
REFORMS are inevitable.
 
🤣 🤣 🤣 🔊
 
Sema mkuu unasifia hadi unaboa na kukera, Mimi ni CCM kama wewe ila kuna mambo mengine unasifia kana kwamba CCM haiongozwi na binadamu wasiokosea 100% na uhalisia tunaona Kuna uonevu, uongo, ufisadi, upendeleo n.k

Muda mwingine tumia hili jukwaa kuongea ukweli pale panapoonekana ni paovu ili kusaidia Umma na Chama
Maswali yako Yoote nilishayajibu humu jukwaani. Fungua maandiko yangu upate majibu ya maswali yako. Kwa sasa naandaa andiko zito kwa ajili ya kumjibu polepole Humphrey
 
Naomba uandike hayo unayoona sijaandika. Mimi naona juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Samia. Kumbuka kuwa hakuna Nchi isiyo na changamoto.hata Marekani kuna changamoto kibao
 
 

Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    180 KB · Views: 27
Manyanza umeandika kwa kutulia sana, ila shida uliyemwandikia na kuhitaji hayo majibu, nasikitika kusema hakuna ambacho atakujibu. Ni mbinafsi na mfukuzia tonge tu huyo, hakuna mtu mwenye akili timamu, kila siku akiamka, ni kuandika ujinga ambao huwa anauandika.

Kinachochosha zaidi, watu kujazana, hata kama wanambeza kwenye comments ni kama chizi akuchukulie nguo zako ukiwa unaoga mtoni, wewe umfukuze ukiwa mtupu, lazima wewe unayemkimbiza ndiyo utaonekana chizi.
 
Naomba uandike hayo unayoona sijaandika. Mimi naona juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Samia. Kumbuka kuwa hakuna Nchi isiyo na changamoto.hata Marekani kuna changamoto kibao
Basi tunaomba utuandikie hizo changamoto unazozijua maana hatujaona siku unaandika hizo changamoto nasi tuzijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…