Maswali 10 kuhusu maandiko ya Lucas Mwashambwa na hoja zake

Lucas Mwashambwa ni kidampa , na sote tunaojua tabia ya vidampa ni kufuata maelekezo bila kuuliza .

Huo upuuzi anaoandika humu wana kagroup pia kule X utakuta post zimefannaa hadi nukta hata kama kulikuwa kuna kosa hawafanyi "editing" walichopewa wao wanabebelea juu kwa juu.
 
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…