Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Wewe kwa ubongo wako unaamini wanatoa bure? Umeshawauliza wamechukua rasilimali kiasi gani hapa Tanzania?
Wazungu wenyewe wanajipendekeza Tanzania, hawana uwezo wa kutupangia lolote, kila rasilimali wanazotaka wanapata sasa unadhani watafanya nini?? Na huyo Lissu kama ana uwezo awape wanachotaka.Pumbaaf zao!
 
Bajeti yetu misaada ni asilimia ngapi??? (Maana watu wanadhani tuna kisaada mingo kihivyo) Kuhusu mikopo - si tunakopa na kulipa??? Ushawahi kusikia mkopeshaji kamnyima mkopaji kama anakidhi vigezo??? By the way the power inashift taratibu kutoka west kwenda east... ndiyo maana west kwa sasa hawamtishi PK, Museveni nk
 
Umenena vyema mkuu. 🙏🙏
 
Nyie mnapotembeza bakuli kuomba misaada na mikopo yenye masharti nafuu unajua hayo masharti nafuu ni yepi? Tulieni kama mngekuwa mnajitegemea wasingepata mwanya wa kuwasema.
Hawajui kwamba hao wanao waomba misaada wanafurahia mfumo wao walio tuwekea unafanya kazi vizuri sana mfumo huo ni 'neocolonialism' mfumo ambao una hakikisha tunatumia bidhaa ambazo hatuzizalishi na utalaamu wao, (technology)
 
Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
kuwa huru kuwaumiza, kuwapoteza na kuwauwa wananchi unaowaongoza mara tu wanapodai haki yao ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki
 
kuwa huru kuwaumiza, kuwapoteza na kuwauwa wananchi unaowaongoza mara tu wanapodai haki yao ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki
Kuna walioitwa kukaa meza moja wakajibu wanapotezewa muda wao type yao ni kiongozi wa nchi ndio waku dili naye. Sasa kiongozi ndio anafanya maboresho kwenye vyama vya siasa?
 

Watanzania sio wajinga tena mama, unawauliza wazungu kwa niaba ya anayekupa mboga? Eti waijadili Marekani unafikiri ni shithole? Waijadili kwa lipi? Kwa hizi hoja mnazolishana JF?

Mungu awabariki wazungu tu, weusi bado ni kama wanyama, unampa bunduki anamuua ndugu yake kwa ajili ya shamba wakati mapori bado yamejaa!
 
Ni wazi umeandika kwa kukurupuka na hujafuatilia mada.

Unajua Bunge la Ulaya wamezungumzia nini wiki hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…