Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Wakati wa ukoloni wa wazungu, wazungu wengine walipigania inchi makoloni zipewe uhuru. Hata sasa wanapigania inchi makoloni zipewe uhuru dhidi ya ukatili wa wakoloni weusi
Nipatie mfano wa nchi moja ambayo wameipigania dhidi ya huo ambao unauita ukoloni wa wakoloni weusi ambao wameupigania na hilo Taifa sasa likawa sawa kiuchumi, utulivu wa kisiasa na n.k.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Ukila vya wanaume ujue kulipa pia
 
Acha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asiengeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
Huo ni mtazamo wa mtu ambae aijui CCM.

Kama ulisikiliza hotuba ya naibu waziri mkuu Biteko akiwa Arusha na kusema watu ni wale wale hiyo ndio CCM.

Wengi wamefika walipo kupitia succesion planning ya chama.
 
Huo ni mtazamo wa mtu ambae aijui CCM.

Kama ulisikiliza hotuba ya naibu waziri mkuu Biteko akiwa Arusha na kusema watu ni wale wale hiyo ndio:

Wengi wamefika walipo kupitia succesion planning.

Haya bana unayeijua sisiemu, kwamba walipanga jiwe awe rais na mama yao pia, then aliyekuwa kwenye succession plan mwenyewe alitamka hadharani kwamba alikua anajaribu wakamsokomozea! Utakua kijana mdogo sana naona au uvisisiemu anayejitafuta bado!
 
Acha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asingeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
Vita mbinu
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa

Hii spill over ya mambo yetu ya ndani kwande huko duniani ni dalili za kushindwa kwa mifumo yetu ya ndani, dunia hii si yetu peke yetu na hatuishi shimoni.
 
Akili kama zako hizi huwa ninashindwa kuzielewa kabisa.

Unapinga bunge la Ulaya kuingilia mambo ya Tanzania eti nchi huru, hapo hapo unataka bunge hilo liingilie mambo ya Gaza, Palestina na Ukraine!

Akili mavi kama hizi ni kichefuchefu kabisa.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya

Uki

Nimepata shida sana kukuelewa ndugu kutokana na:-
Mosi, Mpaka leo haujui nani aliezuia CDM asishiriki uchaguzi kwakua hajasaini form za makubaliano Dodoma au unajitoa ufahamu?Ushahidi gani mwengine unaouhitaji kwamba wamezuiliwa, kubambikiziwa kesi zisizo na tija huku serikali ikitumia rasilimali fedha kwa kesi zisizokua n msingi?
Pili, Tz sio taifa huru kama unavyozungumza labda ungeweka wazi uhuru unaouzungumza? Mikopo tunayopewa inakua na masharti lukuki....ili tuwe huru lazima tujiendeshe wenyewe; kama tunashindwa jiendesha kwa vitu vidogo hatuwezi jiendesha kwa vitu vikubwa kwa mantiki hiyo acha wajadili tu!

Tatu, kwann uwapangie cha kujadili; yaani unataka wajadili DRC au udikteta wa Trump wakati wao wameamua kwanza wajadili Tz, hapa hauoni kwamba unaingilia mipaka yao kujadili? Je, ninyi EAC mlifanikiwa kutatua mgogoro wa DRC?
Nne, kama kuna ubavu natarajia serikali itoe tamko kwenda kwa jumuiya ya ulaya kukataa kuingiliwa mambo ya ndani na hawataki mikopo kutoka jumuiya ya Ulaya.
 
Sina uhakika halisi wa maana yako yote. Iła kwa uelewa rahisi bila ya mafumbo kama yapo nakubaliana na wewe.
Kwakifupi tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke

Tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha

Kuna mambo mengi kwenye jamii hii tunayo ishi hayaendi sawa kwasababu ya kuto kuhoji

Mfano hai assilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara na mjasiriamali,
Asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka hii assilimia 20 ina nguvu hata kuua biashara endapo jamii itaendelea kunyamaza pia huwezi kufanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza,(silent society)

Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini madhara ya kunyamaza tunayajua

Someni kuhusu ' ostracism' mtanishukuru

Silence surrenders public responsibilities
 
Ukila vya wanaume ujue kulipa pia
Na wao ndio walianza kututapeli tokea wakati kupora mali zetu, alafu wao wanatupatia mawe ya kung'aa, nguo na vyatu kisha wanaondoka na mali zetu. Tuishi hivi, hakuna taifa ambalo linaweza likawa na uchungu dhidi ya Taifa lingine. Ukiona amekomaa sana tambua anahitaji kurudi kututawala hadi kifikra.
 
Raphael Wewe Ni mgeni kwenye Siasa?

Swali la Kwanza!
Hukusikia Mwenyekitu na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akisema Kuwa Chadema haitashiriki Uchaguzi? Amepita Akihojiwa Kwenye vyombo mbalimbali akifanya hivyo..

Swali la 2!
Unafahamu Kuhusu Mkataba wa Cotonou (Cotonou Agreement – 2000), .Universal Declaration of Human Rights (1948),International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR – 1966),EU Guidelines on Human Rights Dialogues (2001 )

Swali kwanini EU inaweza kujadili au kulaani bila kuwa "juu ya sheria"?

Kwa sababu nchi kama Tanzania zimeingia kwa hiari katika mikataba hiyo.

Mara tu nchi inapokubali mkataba, inawajibika kimataifa kuheshimu masharti yake.

Bunge la Ulaya linaweza kutumia majukwaa ya kisiasa kuonyesha msimamo wake – si kuingilia moja kwa moja, bali kutoa shinikizo la kidiplomasia au kuathiri misaada/ushirikiano...

Naomba Nilukumbushe Kwamba Unapokuwa Nchi wanachama wa Jumuiya Fulani au Mikataba fulani Huwa ina Mashart yake Na Inapaswa Kufuatwa Huwo huru pale unaposaini Miakaba Unakuwa Chini ya Vifungu na Sheria
Dr Nchimbi alisema vizuri sana mambo ya wanasiasa yaachiwe wana siasa vyombo vya dola vikae pembeni. NI BUSARA KUBWA WAKUSIKILIZE NCHIMBI. UKO SAHIHI.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Hayo maswali jibu lake ni moja tu
Tuache kukopa au kupokea misaada kutoka taasisi yoyote kutoka ulaya. Marekani hawaigusi coz haifanyi hayo niliyokwambia.
 
Ushawahi kumuuliza babà yako Kwanin unanisema nikifeli mitihani wakati na wewe ulifeli?
 
Haya bana unayeijua sisiemu, kwamba walipanga jiwe awe rais na mama yao pia, then aliyekuwa kwenye succession plan mwenyewe alitamka hadharani kwamba alikua anajaribu wakamsokomozea! Utakua kijana mdogo sana naona au uvisisiemu anayejitafuta bado!
Hakuna mtu alitabiri COVID 19 wala kifo cha raisi.

Kabla ya Samia, kulikuwa na Bilal (mtaalamu pekee wa ‘nuclear physics’) Iła kazi yake ilikuwa kukata utepe tu

Mengine ni Kudra za mungu
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
ccm ndio imewapa mamlaka bunge la ulaya tatizo ni ccm miaka yote 60 ya uhuru wanatembeza bakuli kuomba misaada huko ulaya ndio maana watu hawa wanaona wana haki ya kutufanyia kikao sisi watanzania tusioweza jitegemea, wakupe msaada utumie kutekea raia na kulipa wasanii wasikujadili
 
Back
Top Bottom