Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Unajua hao hao wazungu wanaipa nchi yako shilingi ngapi? Kila siku mnapanda ndege kwenda kuwaomba hela na mikopo nafuu mnategemea nini? Tuliaaa. Na bado hujasema

Hata bila misaada ni kama wanaona ming'ombe inagombana ndani ya zizi inauana, mtu yoyote mwenye busara atasaidia kuwatenganisha tu hata kama hawalipi wala hawapi msaada!
 
Tatizo ndio linaanzia hapo, kuamini kila anayetoa maoni yake basi anahitaji nafasi ya kuteuliwa. Huo ni uoga tu 😂😂
CCM chama

CCM ina succession planing yake, sasa aina maana wote ni waelevu. Maana yake kati ya hao kuna mataahira kadhaa watakuwa viongozi.

CCM pia ipo tayari kuokota talent nje ya chama kwa watu wenye uwezo.

Sasa ili uokotwe nje ya mfumo wa wao uhitaji kuwa chawa, Iła kuwaonyesha uelewa wako mpana ikibidi kuwakosoa technically.

Wana watu humu wa kukupendekeza huyu mtu anatufaa (trust me).

Lakini kwenda kuandika ujinga on technical issues, wana wapuuzi wengi wa kufanya hiyo shughuli.

Yaani motion ya MEP ambayo ni nonsense uindakie majibu ya ujinga hivyo.

Inaonekana hujui siasa kama wachangiaji wa CDM, unajipendekeza tu. Na kuna namna za kujipendekeza kuliko kuongelea mambo usiyoyajua.

Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito wa CCM na usalama ni sehemu ya kuonyesha uwezo wenu vijana.

Hata mnaelewa somo
 
Raphael Wewe Ni mgeni kwenye Siasa?

Swali la Kwanza!
Hukusikia Mwenyekitu na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akisema Kuwa Chadema haitashiriki Uchaguzi? Amepita Akihojiwa Kwenye vyombo mbalimbali akifanya hivyo..

Swali la 2!
Unafahamu Kuhusu Mkataba wa Cotonou (Cotonou Agreement – 2000), .Universal Declaration of Human Rights (1948),International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR – 1966),EU Guidelines on Human Rights Dialogues (2001 )

Swali kwanini EU inaweza kujadili au kulaani bila kuwa "juu ya sheria"?

Kwa sababu nchi kama Tanzania zimeingia kwa hiari katika mikataba hiyo.

Mara tu nchi inapokubali mkataba, inawajibika kimataifa kuheshimu masharti yake.

Bunge la Ulaya linaweza kutumia majukwaa ya kisiasa kuonyesha msimamo wake – si kuingilia moja kwa moja, bali kutoa shinikizo la kidiplomasia au kuathiri misaada/ushirikiano...


Naomba Nilukumbushe Kwamba Unapokuwa Nchi wanachama wa Jumuiya Fulani au Mikataba fulani Huwa ina Mashart yake Na Inapaswa Kufuatwa Huwo huru pale unaposaini Miakaba Unakuwa Chini ya Vifungu na Sheria
kaka kila nikifikiria utamu wa toyota lc 300 series. mtuwie radhi.hayo mnayoyapigania itakua myown suicide. never
 
Hili kuchomoka ndani ya CCM kupitia you’ve got to be clever.

Vinginevyo CCM ina wapuuzi wengi wanaotafuta nafasi za uongozi.

Uwezi kuwa impress hao watu kwa kuandika mada za kijinga, ambayo majibu wanayo tayari.
Uko sahihi mkuu hii kwakinyakyusa tunaita: Expecting results from what you

Yaani kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua, vile vile kutaka pisi Kali ukijua kwamba huna pesa
 
Kwenye hicho kipengele namba 3 .........inabidi nicheke kwanza😄😄😄 ina maana hao wanaotoa maoni tu na ushauri wanapotezwa na kuumizwa vibaya uoni kama hiyo ni sababu ya watu kushindwa kuzungumza?? Je ni mtanzania gani anaweza kuthubutu kupanua kwapa wakati tayari mamlaka zinajivunia ukuu na nafasi kuu waliyonayo(jeshi na polisi hapo bado machawa)??.............waswahili sisi ni washamba sana huwa hatuendi na muda ..........kira kitu kina utamu na uchungu wake.........hata kupendwa ni vivo hivyo utapendwa na kuchukiwa pia .........sasa kijani ilipendwa na ikapendwa tena hila huu ni muda wake wa kuchukiwa tulieni hao hao walio wapenda ndio wanaowachukia sasa.........msilazimishe kupendwa hili hali hamfananii upendo huo
 
CCM chama

CCM ina succession planing yake, sasa aina maana wote ni waelevu. Iła kati ya hao mataahira watakuwa viongozi.

CCM pia ipo tayari kuokota talent nje ya chama kwa watu wenye uwezo.

Sasa ili uokotwe nje ya mfumo wa wao uhitaji kuwa chawa, Iła kuwaonyesha uelewa mpana ikibidi kuwakosoa technically.

Wana watu humu wa kukupendekeza huyu mtu anatufaa (trust me).

Lakini kwenda kuandika ujinga on technical issues, wana wapuuzi wengi wa kufanya hiyo shughuli.

Yaani motion ya MEP ambayo ni nonsense uindakie majibu ya ujinga hivyo.

Inaonekana hujui siasa kama wachangiaji wa CDM, unajipendekeza tu. Na kuna namna za kujipendekeza kuliko kuongelea mambo usiyoyajua.

Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito wa CCM na usalama ni sehemu ya kuonyesha uwezo wenu vijana.

Hata mnaelewa somo


Acha kujilisha upepo mkubwa, sisiemu ingekua na succession plan isingekuwa inaokota wala kuchezea pesa za umma kununua wapinzani, mtu mwenye akili timamu asingeweza kuchoma hata shilingi kumnunua mtu kama molele godi na kumpa kbs uwaziri!
 
CCM chama

CCM ina succession planing yake, sasa aina maana wote ni waelevu. Iła kati ya hao mataahira watakuwa viongozi.

CCM pia ipo tayari kuokota talent nje ya chama kwa watu wenye uwezo.

Sasa ili uokotwe nje ya mfumo wa wao uhitaji kuwa chawa, Iła kuwaonyesha uelewa mpana ikibidi kuwakosoa technically.

Wana watu humu wa kukupendekeza huyu mtu anatufaa (trust me).

Lakini kwenda kuandika ujinga on technical issues, wana wapuuzi wengi wa kufanya hiyo shughuli.

Yaani motion ya MEP ambayo ni nonsense uindakie majibu ya ujinga hivyo.

Inaonekana hujui siasa kama wachangiaji wa CDM, unajipendekeza tu. Na kuna namna za kujipendekeza kuliko kuongelea mambo usiyoyajua.

Hili jukwaa linapitiwa na watu wazito wa CCM na usalama ni sehemu ya kuonyesha uwezo wenu vijana.

Hata mnaelewa somo
Sasa wewe ndio unajipendekeza kwao ili wakuone uko smart brain kumbe..... kijana mwanaume kujipendekeza kuandika jambo ili kumvutia mtu au kundi fulani ni upuuzi mkubwa sana. Daima andika unachoamini ni sahihi na pasipo kumvunjia mwingine heshima yake. Nimehitimisha.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Wakati wa ukoloni wa wazungu, wazungu wengine walipigania inchi makoloni zipewe uhuru. Hata sasa wanapigania inchi makoloni zipewe uhuru dhidi ya ukatili wa wakoloni weusi
 
Uko sahihi mkuu hii kwakinyakyusa tunaita: Expecting results from what you yaani kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua, vile vile kutaka pisi Kali ukijua kwamba huna pesa
Sina uhakika halisi wa maana yako yote. Iła kwa uelewa rahisi bila ya mafumbo kama yapo nakubaliana na wewe.
 
Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.
Africa haiwez kuwa huru kama waafrika wenyewe hawataki kuwa huru. Kuanzia viongoz ambao kutwa kucha hawakato miguu huko, unafikir funds na mikopo inatokea wapi? Miradi inaendeshwaje?

Viongozi wenu ndio wanawauza halafu mkohojiwa mnatoa povu. Come on
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Mnataka msiingiliwe jinsi mnavyonyima haki wananchi wenu? Yaani muwe huru kuua ndugu zenu kwa sababu mmeshika dola?
 
Wazungu wenyewe wanajipendekeza Tanzania, hawana uwezo wa kutupangia lolote, kila rasilimali wanazotaka wanapata sasa unadhani watafanya nini?? Na huyo Lissu kama ana uwezo awape wanachotaka.Pumbaaf zao!
Wazungu wanajipendekeza tanzania? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom