Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Maswali 8 ya kuwauliza Bunge la Ulaya

Sio succession plan tena? Am out..
Sijui hata tumetoka wapi.

Ila uhalisia ni kwamba ndani ya CCM kuna sucesion planning.

Na walinzi wa chama wanapitia JF, pamoja na kutafuta talents kupitia platforms zingine.

Trust me wenye chama, serious talent na wenyewe huyo kijana wanamchukulia serious team member,
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya A
Bado haujaeleweka. Kama umesoma barua yao inasema wapo upande wa haki za binadamu. Sheria ya kumnyonga mtu sio mchezo

Lissu sio kama wale mliowapeleka mabwe pande na kuwavunja miguu.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.

Mkitaka ela, mkitaka mikopo, mkitaka misaada, mkitaka msamehewe madeni yenu hapo huwa mjiulizi hayo maswali

Hakuna mtu anaweza kukuingilia kama humtegemei yeye kwa jambo lolote
 
Tunachopigania kila siku Afrika kuwa huru ila kuna vichwa wao wanaamini katika kutawaliwa. Ushauri wangu, ambao mnataka kutawaliwa mtengeneze umoja wenu alafu mkawaombe muishi ulaya.

Huru na uwezi kujitegemea? Unapata wapi uhuru
 
Kwakufupi tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke

Tabia ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha

Kuna mambo mengi kwenye jamii hii tunayo ishi hayaendi sawa kwasababu ya kuto kuhoji

Mfano hai assilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara na mjasiriamali,
Asilimia 20 ni mjasiriamali ni yanayo mzunguka hii assilimia 20 ina nguvu hata kuua biashara endapo jamii itaendelea kunyamaza pia huwezi kufanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza,(silent society)

Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini madhara ya kunyamaza tunayajua

Someni kuhusu ' ostracism' mtanishukuru

Silence surrenders public responsibilities
Kuhoji kuna namna.

Binafsi mwanzo nikikuwq nawatukana kweli.

Nikiwa napata quotes, si useme bila ya kututukana hasa mheshimiwa raisi.

Kipindi hiko naandika moderators wanakuja wanabadili maandishi nionekane hata kuandika sijui.

It dint matter kuna watu huko serikalini uwezo wa mru wanauona.

Leo imefikia hatua nikifungua banner ID max lazima aifunge wanataka niwe na ID moja tu nikiwatukana au kuwasifia kwao sawa. Kwa sababu ni kutokana na uhalisia.

Ndio msingi wa ushauri wangu, vijana wa CCM huu ni uwanja wa kuonyesha technical knowledge zaorz

Kwetu kumekucha 👋
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
tusipuuze kauli za eu, tunaheshimu utawala wa sheria, mahakama imwachie kivipi? ili mtu wao awe huru wanatupa nini? wakitupa hela za kumalizia sgr tutamwachia asubuhi tu
 
Bado haujaeleweka. Kama umesoma barua yao inasema wapo upande wa haki za binadamu. Sheria ya kumnyonga mtu sio mchezo

Lissu sio kibaka kama wale mliowapeleka mabwe pande na kuwavunja miguu.
Duh! Hao vibaka waliovunjwa miguu mimi siwajui. Ila kama ni vibaka basi nadhani waliohusika kuwavunja miguu walitenda haki "shikilia neno kibaka" means ni wahalifu. Ila sisi sote tunalindwa pamoja na kuwajibishwa na Sheria.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Wanakuchangia budget karibu 40pc hata uchaguzi uchwara wanawasaidia NEC.
 
tusipuuze kauli za eu, tunaheshimu utawala wa sheria, mahakama imwachie kivipi? ili mtu wao awe huru wanatupa nini? wakitupa hela za kumalizia sgr tutamwachia asubuhi tu
Wakubali ni mtu wao, na walimtuma kwenye agenda ya kuuzuia uchaguzi. 😁😁
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?
Ya
8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
Maswali yako yote yanajibiwa na njaa za viongozi wako
,wameshindwa kutumia akili zao za darasani ili kusimamia rasilimali tulizokuwa nazo matokeo yake wamegeuka ombaomba kwa wazungu, kutokana na wazungu kujua madhaifu ya Viongozi wako nao wanapitia humohumo
 
Wewe kwa ubongo wako unaamini wanatoa bure? Umeshawauliza wamechukua rasilimali kiasi gani hapa Tanzania?
Wanachukua rasilimali zenu kwasababu nyie ni mabwege. Na kuonyesha kwamba ni mabwege zaidi, mnazidi kuwafuata hao hao mnatembeza bakuli kuwaomba hela. Kila siku mnajisifia kwamba mnakopesheka. Sasa tulia hivyo hivyooo. Na bado hamjasema
 
Tunatakiwa tufanye siasa kama wao. Ujerumani kuna CDU, SPD, na vile vyama vingine, wanafanya siasa zao kistaarabu, mara hichi mara kile wanashindana kwa sera tu hakuna siasa za ajabu kama huku
 
Maswali yako yote yanajibiwa na njaa za viongozi wako
,wameshindwa kutumia akili zao za darasani ili kusimamia rasilimali tulizokuwa nazo matokeo yake wamegeuka ombaomba kwa wazungu, kutokana na wazungu kujua madhaifu ya Viongozi wako nao wanapitia humohumo
Duh! Sina uhakika kwenye hilo la omba-omba. Ila la kujitegemea ni muhimu sana Afrika kuwa na mfumo wake wa kujiendesha.
 
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:

1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?

2. Kwa kutumia msingi upi wa kisheria au mkataba gani wa kimataifa, Bunge la Ulaya linajipa mamlaka ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, taifa huru linalojiongoza kwa mujibu wa katiba yake?

3. Bunge la Ulaya lina mamlaka gani au dhamana ipi ya kuipigania Tanzania kana kwamba Watanzania hawana uwezo wa kujitetea wala kujiamulia mustakabali wao?

4. Tokea lini Tanzania, kama taifa huru, imekuwa ikiingilia na kujadili masuala ya ndani ya nchi za Ulaya ndani ya mabaraza yake ya kisheria au ya kisiasa?

5. Kwa nini Bunge la Ulaya halitengi muda kujadili na kuchukua hatua kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina?

6. Kwa nini Bunge hilo hilo halikai kujadili uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, jambo ambalo linaendelea kutikisa dunia na kusababisha madhara makubwa kwa raia?

7. Kwa nini pia wasikae kujadili ukandamizaji na unyonyaji wa rasilimali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo kampuni nyingi za kimataifa zenye makao yao Ulaya zinatajwa kunufaika?

8. Je, Bunge la Ulaya linaamini katika misingi ya utawala wa sheria? Na iwapo jibu ni ndiyo, je, linaamini kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya sheria na hakuna aliye juu ya sheria, ikiwemo wao wenyewe?

Mwisho, naomba wajifungie kuijadili Marekani na Udikteta wa Trump, alafu na sisi walau kidogo tutajua walau wanaouchungu na mataifa ya Afrika.
We kenge kweli, hujui nani ameizuia chadema kushiriki uchaguzi? Kilaza kabisa.
 
Unaonekana bado ni mtoto mdogo sana, au utakuwa ni kilaza usiye fahamu dunia inavyo kwenda.
 
Wanachukua rasilimali zenu kwasababu nyie ni mabwege. Na kuonyesha kwamba ni mabwege zaidi, mnazidi kuwafuata hao hao mnatembeza bakuli kuwaomba hela. Kila siku mnajisifia kwamba mnakopesheka. Sasa tulia hivyo hivyooo. Na bado hamjasema
sikuhizi misaada ni biashara, trump alimwambia zelenskly ampe madini vinginevyo hawamsaidii kivita, nasie kama eu wanamtaka lissu watupe hela tuwape vinginevyo tutamyonga masaa mawili baada ya hukumu
 
Back
Top Bottom