Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

Maisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.

Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.

Tumia free will yako kuishi ndani script

Kuishi ndani ya script

* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales

*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose,NO DIVINITY NO LIFE)nimesema una Pambana kwsbb Kuna nguvu kinzani inayoonekana na isiyoonekana.

* Ukishatimiza kusudi,unakufa na kuanza maisha mapya(eternal life)
Note
Usikubali mtu yeyote aamue hatma ya maisha yako awe Ni mzazi,ndugu,rafiki,kiongozi....etc

Tumia free will kuishi kwenye script ya M-ngu na sio kufata script za watu na za mifumo ya kidunia.
 
*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose)
"NO DIVINITY NO LIFE"

Maisha hayawezi kuwa yamepangwa halafu uwe na free will, hiyo ni contradiction.

Kama umeshapangiwa kuwa mwizi utakuwa na free will gani ya kukufanya usiibe??
 
Maisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.

Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.

Tumia free will yako kuishi ndani script

Kuishi ndani ya script

* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales

*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose)
"NO DIVINITY NO LIFE"
* Ukishatimiza kusudi,unakufa na kuanza maisha mapya(eternal life)
Note
Usikubali mtu yeyote aamue hatma ya maisha yako awe Ni mzazi,ndugu,rafiki,kiongozi....etc

Tumia free will kuishi kwenye script ya M-ngu na sio kufata script za watu na za mifumo ya kidunia.
Nikisema hata hiki ulichoandika hapa tayari kilishapangwa?
 
Ulishatambuliwa tangu upo tumboni mwa mama yako na kusudi lako duniani hakuna mambo mengi
Mkuu kwahyo njia zangu zote zinatambulika na mwisho wake? Kwahiyo kwenye angle ya kidini suala la kwenda moton au jehanum tayari lilishajulikana toka tumboni hapa nilipo ni kutimiliza tu?
 
Mkuu ni kweli huwezi kuchagua kadi ulizogawiwa mkononi, lakini una uwezo wa kuamua uicheze vipi kila kete uliyo nayo ili ushinde mchezo.

Ukiligeuze swali lako kwamba kwa nini nimezaliwa hapa na sio kule linageuka moja kwa moja kuwa ni swali la kiuwajibikaji na siyo la kulalamika tena au kujionea huruma.

Jiulize hivi "Kwa mazingira niliyopewa na kadi nilizonazo mkononi sasa hivi, ni nini hasa kinachonizuia kuwa mimi ninayetaka kuwa?" unaona hili swali jinsi linavyokuondoa kwenye ule mtego wa kujiona mhanga wa mazingira na linakurudishia nguvu zote wewe?

Kimsingi hapa unakuwa umetengeneza uwiano mzuri sana kati ya kukubali uhalisia wa kikatili wa maisha kwamba kuna mambo hatuyadhibiti na wakati huo huo hutokata tamaa kwamba bado una namna nzuri unayoweza kufanya kwenye huo huo uhalisia wa kikatili wa maisha.

Ninachokieleza hapa kifupi ni kwamba trajectory ya maisha yetu, kwa asilimia kubwa, bado ipo mikononi mwetu licha ya wapi tulipoanzia.
Mkuu nikisema hata haya uliyoyaandika na kunijibu tayari yalishapangwa kuwa utafanya hivi nakosea?
 
Welcome naomba mawazo yako madam
Mkuu asante kwa kuni-tag, mada yako imenipasua kichwa vibaya mnoo 😂😂 Imenizidi aisee, naweka kambi hapa nisome comments za wadau labda nitapata chochote kitu kwa juzi wa mambo

Ila kwa uchache sana...

Kuna watu wale wa imani ya dini na wale wasioamini kuhusu dini, kunakuwa na mitazamo tofauti

Exp: Watu wa imani ya Kristo & Muslim, wao wanaamini kwamba kila kitu kilipangwa kwamba Mungu alipanga kila kitu na alijua utazaliwa wapi, na wazazi watakuwa wa namna gani kwenye mazingira gani

Kwenye Biblia kuna msemo unasema, Nalikujua kabla sijakuweka katika tumbo la mama yako.

Ina maana hapa mtu huyu mwenye imani anaamini kwamba destiny ya maisha yake ilipangwa na Mungu mwenyewe, Muumba

Waislamu wao husema haimpati jambo mja wa Allah kama Mwenyezi Mungu mwenyewe hajaliridhia

Kwamba kila kitu Allah alikijua na anakijua
Utasikia mtu akisema, Yote haya ni kadari ya Mwenyezi Mungu amenikadiria

So kwa watu wa dini, naona kama wao huamini kila kitu ni mipango ya Mungu.

Niweke sawa hapa, huu ni mtazamo wangu sio wa wote(wenye dini)

Kuna wale sasa wa nature, wao huamini sana kwenye matokeo ya vitu vya wazi vinavyoonekana kwa macho, sio imagination

Hawajishughulishi sana na mambo ya kufikirika, so mtu kuwa alivyo huamini ndivyo alivyotakiwa kuwa hivyo

Mfano, kuwa mweusi ni kwa sababu kazaliwa na mtu mweusi
Kuwa mweupe, hivyo hivyo(mambo ya DNA)

Au Kuwa tajiri au masikini ni vitu vinavyoathiriwa na mazingira
Mkuu kwenye hii mada nimeishia hapa 🙏🙏
 
Mkuu nikisema hata haya uliyoyaandika na kunijibu tayari yalishapangwa kuwa utafanya hivi nakosea?
Hukosei kabisa kuwaza hivyo Mkuu, kama unaamini kila kitu kimepangwa unaweza kuwa sahihi kabisa, ni
sawa na kusema kwamba tangu ulimwengu uanze, atomu zote ziligongana kwa namna ambayo ilikuwa lazima mimi na wewe tukutane leo, wewe uandike yale maandishi, na mimi nifanye hiki nilichokifanya kukujibu. Kwamba hata hiki tunachokiita uhuru wa kuchagua ni uongo tu, bali ubongo wetu ulichakatwa na matukio ya nyuma yakatulazimisha tufanye hivi sasa hivi.

Lakini naomba nikupe upande wa pili ambao naona una nguvu zaidi, iko hivi kama kila kitu kilishapangwa kuwa nitakujibu hivi, maana yake mimi na wewe hatuna thamani yoyote hapa duniani, yani sisi ni kama maroboti tu yaliyowekewa program kutekeleza amri tu. Sasa swali linakuja kama kila kitu kilishapangwa, kwa nini huwa unajisikia fahari muda fulani au unajisikia vibaya pale unapofanya jambo jema au kosa? Kwa nini sheria zinamfunga mwizi kama alishapangwa kuwa mwizi tangu mwanzo?

Hapa utaona ndio maana wataalamu wengi wa falsafa za kisasa wanapenda kitu kinaitwa compatibilism yani, mazingira na mifumo ya ulimwengu vinaweza vikawa vimepanga ramani nzima, lakini hapa katikati mimi na wewe tulikuwa na uhuru wa kuchagua maneno ya kuandika. Mimi ningeweza kuamua kutokujibu kabisa huu ujumbe wako, au ningeweza kuandika matusi, lakini nikaamua kutumia akili yangu kukujibu hivi, huo mda mfupi niliokaa kufikiria kabla ya kuandika, ndio dhihirisho lenyewe kwamba ninamiliki maisha yangu, hayajapangwa kwa 100%.
 
Ukianza kujiuliza maswali ya identity na reasons for your existence ujue umri umesonga. Hapo upo 30+
 
Nimekupata. Hilo la ‘Kwa nini siyo mimi?’ ni swali zito zaidi kuliko nilivyoliuliza.

Lakini nikigeuza swali na kusema ‘Kwa nini siyo mimi?’, najikuta nikitambua kwamba tofauti kati yangu na huyo mtu wakati mwingine ni mazingira tu ambayo hakuna hata mmoja wetu aliyachagua.

Hata hivyo, bado najiuliza: je, jibu la ‘kwa nini siyo mimi?’ linatueleza sababu iliyofanya yeye apitie hayo na mimi nisipitie? Au linatufundisha tu kwamba sisi wote tulikuwa na uwezekano wa kuwa katika nafasi hiyo?
Kaka naomba nikujibu kwa namna hii; Maisha ya mtu Duniani ni kama igizo ambalo mchezaji wa igizo ndiye muigizaji na mtazamaji. Tunayoyaita mazingira ni "illusions" kutokana na mitazamo yetu. Sisi ndiyo watawala wa maisha na maisha yenyewe ndiyo sisi (Mimi/Wewe)

Nivumilie kidogo, Muigizaji wa igizo(mtu binafsi) ndiye anayechagua mandhari zinazowiana na dhamira mbalimbali anazozijua au asizozijua yeye kwa wakati huo. Mtazamaji wa igizo anaweza kuibua dhamira mbalimbali kulingana na mtazamo wake.

Mifumo ya Elimu, Dini, Jamii n.k imepoka mamlaka ya kiasili ya kiumbaji ya mtu wa kileo. Kwa asili mtu ni nguvu inayotawala mazingira yake na siyo kinyume chake. Kinachonipa matumaini ni ukekele wa ukimya wa asili ya mamlaka wa mtu unaopiga kelele maishani mwetu.

Siyo jambo la ajabu tukioondolewa kila tulichofundishwa na kuaminishwa tukauona ukweli kwa upekee sana. Kwa sababu hivi tulivyo ni mtaji na biashara kwa watu. Tukiamka wote kuna biashara nyingi sana zitafungwa Duniani.
 
Maisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.

Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.

Tumia free will yako kuishi ndani script

Kuishi ndani ya script

* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales

*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose,NO DIVINITY NO LIFE)nimesema una Pambana kwsbb Kuna nguvu kinzani inayoonekana na isiyoonekana.

* Ukishatimiza kusudi,unakufa na kuanza maisha mapya(eternal life)
Note
Usikubali mtu yeyote aamue hatma ya maisha yako awe Ni mzazi,ndugu,rafiki,kiongozi....etc

Tumia free will kuishi kwenye script ya M-ngu na sio kufata script za watu na za mifumo ya kidunia.
Hakika, nimejifunza kitu
 
Back
Top Bottom