Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Ngoja nikupe mfano.
Kuna mtu A na mtu B.
Na wote wana freewill.
Mtu A kaamua kutumia freewill yake kumuua mtu B.
Freewill ya mtu B itakuwa wapi, ikiwa ameuwawa pasipo kutumia freewill yake mwenyewe ya kuamua kuishi au kuuwawa?