Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 302
- 2,097
Maisha hayawezi kuwa yamepangwa halafu uwe na free will, hiyo ni contradiction.Maisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.
Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.
Tumia free will yako kuishi ndani script
Kuishi ndani ya script
* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales
*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose)
"NO DIVINITY NO LIFE"
* Ukishatimiza kusudi,unakufa na kuanza maisha mapya(eternal life)
Note
Usikubali mtu yeyote aamue hatma ya maisha yako awe Ni mzazi,ndugu,rafiki,kiongozi....etc
Tumia free will kuishi kwenye script ya M-ngu na sio kufata script za watu na za mifumo ya kidunia.
Welcome naomba mawazo yako madam
Nikisema hata hiki ulichoandika hapa tayari kilishapangwa?Maisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.
Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.
Tumia free will yako kuishi ndani script
Kuishi ndani ya script
* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales
*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose)
"NO DIVINITY NO LIFE"
* Ukishatimiza kusudi,unakufa na kuanza maisha mapya(eternal life)
Note
Usikubali mtu yeyote aamue hatma ya maisha yako awe Ni mzazi,ndugu,rafiki,kiongozi....etc
Tumia free will kuishi kwenye script ya M-ngu na sio kufata script za watu na za mifumo ya kidunia.
Mkuu kwahyo njia zangu zote zinatambulika na mwisho wake? Kwahiyo kwenye angle ya kidini suala la kwenda moton au jehanum tayari lilishajulikana toka tumboni hapa nilipo ni kutimiliza tu?Ulishatambuliwa tangu upo tumboni mwa mama yako na kusudi lako duniani hakuna mambo mengi
Mkuu nikisema hata haya uliyoyaandika na kunijibu tayari yalishapangwa kuwa utafanya hivi nakosea?Mkuu ni kweli huwezi kuchagua kadi ulizogawiwa mkononi, lakini una uwezo wa kuamua uicheze vipi kila kete uliyo nayo ili ushinde mchezo.
Ukiligeuze swali lako kwamba kwa nini nimezaliwa hapa na sio kule linageuka moja kwa moja kuwa ni swali la kiuwajibikaji na siyo la kulalamika tena au kujionea huruma.
Jiulize hivi "Kwa mazingira niliyopewa na kadi nilizonazo mkononi sasa hivi, ni nini hasa kinachonizuia kuwa mimi ninayetaka kuwa?" unaona hili swali jinsi linavyokuondoa kwenye ule mtego wa kujiona mhanga wa mazingira na linakurudishia nguvu zote wewe?
Kimsingi hapa unakuwa umetengeneza uwiano mzuri sana kati ya kukubali uhalisia wa kikatili wa maisha kwamba kuna mambo hatuyadhibiti na wakati huo huo hutokata tamaa kwamba bado una namna nzuri unayoweza kufanya kwenye huo huo uhalisia wa kikatili wa maisha.
Ninachokieleza hapa kifupi ni kwamba trajectory ya maisha yetu, kwa asilimia kubwa, bado ipo mikononi mwetu licha ya wapi tulipoanzia.
Hakuna script ya M-ngu imempangia mtu awe mwizi,wewe kuwa mwizi ni kuishi nje ya script.Kama umeshapangiwa kuwa mwizi utakuwa na free will gani ya kukufanya usiibe??
Kuna watu ambao kusudi lao la kuwa duniani wamepangiwa kuwa polisi, mabwana jela, maafisa magereza ?Ulishatambuliwa tangu upo tumboni mwa mama yako na kusudi lako duniani hakuna mambo mengi
Mkuu asante kwa kuni-tag, mada yako imenipasua kichwa vibaya mnoo 😂😂 Imenizidi aisee, naweka kambi hapa nisome comments za wadau labda nitapata chochote kitu kwa juzi wa mamboWelcome naomba mawazo yako madam
Hukosei kabisa kuwaza hivyo Mkuu, kama unaamini kila kitu kimepangwa unaweza kuwa sahihi kabisa, niMkuu nikisema hata haya uliyoyaandika na kunijibu tayari yalishapangwa kuwa utafanya hivi nakosea?
Hizi mada za mahubiri huwa nazipita tu, kuna wagonjwa wengi sana wa akili ndani yake
Kivipi bwashee mbona hamna mahubiri ?Hizi mada za mahubiri huwa nazipita tu, kuna wagonjwa wengi sana wa akili ndani yake
Ndivyo tunaambiwa hata hao majambazi ndivyo ilivyoKuna watu ambao kusudi lao la kuwa duniani wamepangiwa kuwa polisi, mabwana jela, maafisa magereza ?
Kaka naomba nikujibu kwa namna hii; Maisha ya mtu Duniani ni kama igizo ambalo mchezaji wa igizo ndiye muigizaji na mtazamaji. Tunayoyaita mazingira ni "illusions" kutokana na mitazamo yetu. Sisi ndiyo watawala wa maisha na maisha yenyewe ndiyo sisi (Mimi/Wewe)Nimekupata. Hilo la ‘Kwa nini siyo mimi?’ ni swali zito zaidi kuliko nilivyoliuliza.
Lakini nikigeuza swali na kusema ‘Kwa nini siyo mimi?’, najikuta nikitambua kwamba tofauti kati yangu na huyo mtu wakati mwingine ni mazingira tu ambayo hakuna hata mmoja wetu aliyachagua.
Hata hivyo, bado najiuliza: je, jibu la ‘kwa nini siyo mimi?’ linatueleza sababu iliyofanya yeye apitie hayo na mimi nisipitie? Au linatufundisha tu kwamba sisi wote tulikuwa na uwezekano wa kuwa katika nafasi hiyo?
Hakika, nimejifunza kituMaisha ya mwanadamu ni "predestined" yaani yalishapangwa.
Na kwa kuwa Kila mtu amepewa "free will" naweza kusema "what happens in your life ni matokeo ya choices unazofanya,hajalishi ulizaliwa wapi au ulizaliwa na Nani"
Maisha yana offer njia mbili za kuishi,moja ni ndani ya script na nyingine ni nje ya script.
Tumia free will yako kuishi ndani script
Kuishi ndani ya script
* Unatafuta kujua kusudi la kuumbwa kwako(yr divine purpose defines who you are)
The most difficult thing in life is to know yourself"king Thales
*Ukishajua,una pambana kulitimiza(life is all about fulfilling yr divine purpose,NO DIVINITY NO LIFE)nimesema una Pambana kwsbb Kuna nguvu kinzani inayoonekana na isiyoonekana.