Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri?
Pia kati ya mteja (anayeweka hela bank) na bank (anayetunza hela za mteja na kujinufaisha) ni yupi anayepata faida?
Je, tunawaheshimu wateja wanaoleta hela zao na kuwafanya nyie (bank) muendelee kuwa kwenye ajira?