Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wateja na wawekezaji wote ni source ya mitaji ya BankKwan hy pesa ya kukopesha inatoka wapi?
Wateja na wawekezaji wote ni source ya mitaji ya BankKwan hy pesa ya kukopesha inatoka wapi?
Wote ni muhimu sana, go educate yourselfWanaoendeleza benki ni wanaokopa sio wanaoweka hela huko
Wote wakikataa kupeleka pesa bank, unahisi ni nini kitatokea?Binafsi sifikirii kupeleka pesa Benki
Kila mtu atakuwa tajiriWote wakikataa kupeleka pesa bank, unahisi ni nini kitatokea?
Watakuwaje matajiri?Kila mtu atakuwa tajiri
Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri?
Pia kati ya mteja (anayeweka hela bank) na bank (anayetunza hela za mteja na kujinufaisha) ni yupi anayepata faida?
Je, tunawaheshimu wateja wanaoleta hela zao na kuwafanya nyie (bank) muendelee kuwa kwenye aji
Benki wana faida kubwa sanaBank ni financial institution mean ana accept deposit (hela ya mteja) na anatoa mikopo ya aina mbalimbali kupitia hizo hizo deposit mbali na mtaji msingi wa bank hiyo.
Ukisoma balance sheet ya bank assets kubwa ni loan mikopo na liability kwao ni deposits,
Ikumbukwe bank haifanyi uzalishaji wa bidhaa kama TBL, COCA AU PEPSI badala yake Inafanya banking business
Hivyo kupitia deposits za wateja lengo kuu ni kuwafikia hao hao ama wateja wengine wengi kupitia mikopo,
Ukumbuke kwenye mikopo wanariba, kupitia riba kulingana na aina ya mkopo ndipo wanapata income yao,
Mbali na hapa bank products zingine kama bank account, financial security, kufanya issue za mortgages zinaipa bank kupata hela lakini source kubwa ya income ni mikopo!
Umemalza mzeeBenki wana faida kubwa sana
Mfano si rahisi wateja wote wakaja kuchukua pesa zao hilo jambo ni gumu na haliwezekani kwa hiyo
Labda kwa mfano wateja wana trilioni mbili kwenye banki fulani unaweza kuta ni bilion mia nane ndiyo ziko active yani ile ingia toka
Huu mzigo mwingine uliobaki upogi tu umetulia na ni pesa za watu bank sasa ndiyo inazifanyia biashara mikopo na kila kitu bila stress yoyote
Kwa mazingira haya, kwa nini baadhi ya bank hawawaheshimu wateja?Benki wana faida kubwa sana
Mfano si rahisi wateja wote wakaja kuchukua pesa zao hilo jambo ni gumu na haliwezekani kwa hiyo
Labda kwa mfano wateja wana trilioni mbili kwenye banki fulani unaweza kuta ni bilion mia nane ndiyo ziko active yani ile ingia toka
Huu mzigo mwingine uliobaki upogi tu umetulia na ni pesa za watu bank sasa ndiyo inazifanyia biashara mikopo na kila kitu bila stress yoyote
Bank ipi hiyo haiheshimu mtejaKwa mazingira haya, kwa nini baadhi ya bank hawawaheshimu wateja?
Mteja ni mfalme, lakini haudumiwi kama mfalmeBank ipi hiyo haiheshimu mteja
Wanaoweka pia. Maana benki hukopesha pesa zilizowekwa na wateja.Wanaoendeleza benki ni wanaokopa sio wanaoweka hela huko
Suala la customer care kwa Tanzania ni kipengele hiyo iko hivyoKwa mazingira haya, kwa nini baadhi ya bank hawawaheshimu wateja?
Nikisema nipeleke hela bank inabidi niache kazi ili nifanye hiyo kazi jambo ambalo si sawaBank ipi hiyo haiheshimu mteja
Matatizo ya third world countries na ndio sababu kubwa ya umaskiniNikisema nipeleke hela bank inabidi niache kazi ili nifanye hiyo kazi jambo ambalo si sawa
Naweza kukaa bank mpaka masaa mawili niko kwenye mstari
Huwenda kuna madirisha matano lakini utakuta ni mawili tu yana wahudumu na wenyewe sasa ingia toka nyingi,simu ni kama wanaona nyie hamna kazi ya kufanya wao ndiyo wenye kazi
Hiyo siyo heshima