Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Bank wanazungusha pesa ya nani, na makato ya pesa yako kila unapotoa, makato ya mwezi ni ya nini?Wanaoendeleza benki ni wanaokopa sio wanaoweka hela huko
Namba 3 ndio penye shida1. Wateja wanawasaidia wenye benki kupata ajira.
2. Benki ndio wanapata faida mana wanajilipa kupitia pesa yako.
3. Sio lazima wateja kuheshimiwa hata kama pesa zenu ndo zinatumika kuwalipa benki 😎
Kwan hy pesa ya kukopesha inatoka wapi?Wanaoendeleza benki ni wanaokopa sio wanaoweka hela huko
Pesa wazungusha za wateja au wanakopa benki nyingine au kutoka kwa asset zao. Makato yanachangia faida kidogo, faida kubwa inatokana na ribaBank wanazungusha pesa ya nani, na makato ya pesa yako kila unapotoa, makato ya mwezi ni ya nini?
Unazunguka sana. Huko kwenye benki nyingine wana mashine za kuprint pesa?Pesa wazungusha za wateja au wanakopa benki nyingine au kutoka kwa asset zao. Makato yanachangia faida kidogo, faida kubwa inatokana na riba
Atakuwa muajiriwa wa bank huyu 😀Unazunguka sana. Huko kwenye benki nyingine wana mashine za kuprint pesa?
Wewe utakuwa ni mnufaika wa wateja wa benki (muajiriwa)Pesa wazungusha za wateja au wanakopa benki nyingine au kutoka kwa asset zao. Makato yanachangia faida kidogo, faida kubwa inatokana na riba
Bank ni wafanyabiashara. Biashara yao kubwa ni kukopesha na wala siyo kutunza vihela vyako hivyo. Na ikitokea wamekutunzuia kwa sababu huna nidhamu ya pesa lazima uwalipe.1. Wateja wanawasaidia wenye benki kupata ajira.
2. Benki ndio wanapata faida mana wanajilipa kupitia pesa yako.
3. Sio lazima wateja kuheshimiwa hata kama pesa zenu ndo zinatumika kuwalipa benki 😎
Kwa hiyo unataka uweke hela bank bure. Kama ni hivyo kaa nazo mwenyewe. Biashara ya bank ni mikopo siyo makato ya ATMBank wanazungusha pesa ya nani, na makato ya pesa yako kila unapotoa, makato ya mwezi ni ya nini?
Wanakopesha nini Sasa??? Sio hivyo vihela vyetu?Bank ni wafanyabiashara. Biashara yao kubwa ni kukopesha na wala siyo kutunza vihela vyako hivyo. Na ikitokea wamekutunzuia kwa sababu huna nidhamu ya pesa lazima uwalipe.
Hiyo pesa inatoka wapi kama sio hy ambayo inawekwa.?Bank ni wafanyabiashara. Biashara yao kubwa ni kukopesha na wala siyo kutunza vihela vyako hivyo. Na ikitokea wamekutunzuia kwa sababu huna nidhamu ya pesa lazima uwalipe.
HAkuna anayekaa na hela ndani hata mwenye nidhamu ya pesa.Bank ni wafanyabiashara. Biashara yao kubwa ni kukopesha na wala siyo kutunza vihela vyako hivyo. Na ikitokea wamekutunzuia kwa sababu huna nidhamu ya pesa lazima uwalipe.