Maswali fikirishi kuhusu bank na wateja

Benki wana faida kubwa sana
Mfano si rahisi wateja wote wakaja kuchukua pesa zao hilo jambo ni gumu na haliwezekani kwa hiyo
Labda kwa mfano wateja wana trilioni mbili kwenye banki fulani unaweza kuta ni bilion mia nane ndiyo ziko active yani ile ingia toka
Huu mzigo mwingine uliobaki upogi tu umetulia na ni pesa za watu bank sasa ndiyo inazifanyia biashara mikopo na kila kitu bila stress yoyote
 
Umemalza mzee
 
Kwa mazingira haya, kwa nini baadhi ya bank hawawaheshimu wateja?
 
Bank ipi hiyo haiheshimu mteja
Nikisema nipeleke hela bank inabidi niache kazi ili nifanye hiyo kazi jambo ambalo si sawa
Naweza kukaa bank mpaka masaa mawili niko kwenye mstari
Huwenda kuna madirisha matano lakini utakuta ni mawili tu yana wahudumu na wenyewe sasa ingia toka nyingi,simu ni kama wanaona nyie hamna kazi ya kufanya wao ndiyo wenye kazi
Hiyo siyo heshima
 
Matatizo ya third world countries na ndio sababu kubwa ya umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…